Search This Blog

Saturday, May 28, 2011

HII LEO SAA 3:45 USIKU FAINAL YA UEFA BARCELONA VS MANCHESTER UNITED DONT MISS.

ROAD TO THE FINAL- MAN UNITED VS BARCABARCELONA v MANCHESTER UNITED: PROBABLE TEAMS

Barcelona (4-3-3): Valdes; Alves, Mascherano, Pique, Puyol; Xavi, Busquets, Iniesta; Pedro, Messi, Villa

Manchester United: (4-4-1-1): Van der Sar; Fabio, Vidic, Ferdinand, Evra; Park, Carrick, Giggs, Valencia; Rooney; Hernandez

Referee: Viktor Kassai (Hungary)

***

BARCELONA v MANCHESTER UNITED: THE ROAD TO WEMBLEY

Barcelona

Group Stage - Barca 5 Panithinaikos 1, Rubin Kazan 1 Barca 1, Barca 2 Copenhagen 0, Copenhagen 1 Barca 1, Panathinaikos 0 Barca 3, Barca 2 Rubin Kazan 0

Last 16 - Arsenal 2 Barca 1, Barca 3 Arsenal 1

Quarter-final - Barca 5 Shakhtar Donetsk 1, Shakhtar Donestsk 0 Barca 1

Semi-final - Real Madrid 0 Barca 2, Barca 1 Real Madrid 1

Goals - 11 Lionel Messi. 4 Pedro. 3 David Villa. 2 Xavi,Dani Alves. 1 Victor Vazquez, Andreu Fontas, Seydou Keita, Andres Iniesta, Gerard Pique. Total – 27 goals from 10 players

Manchester United

Group Stage - United 0 Rangers 0, Valencia 0 United 1, United 1 Bursaspor 0, Bursaspor 0 United 3, Rangers 0 United 1, United 1 Valencia 1

Last 16 - Marseille 0 United 0, United 2 Marseille 1

Quarter-final - Chelsea 0 United 1, United 2 Chelsea 1

Semi-final - Schalke 0 United 2, United 4 Schalke 1

Goals - 4 Javier Hernandez. 3 Anderson, Wayne Rooney. 1 Bebe, Gabriel Obertan, Darron Gibson, Antonio Valencia, Darren Fletcher, Ryan Giggs, Park Ji-Sung, Nani. Total – 18 goals from 11 players

***

BARCELONA v MANCHESTER UNITED: PREVIOUS MEETINGS

March 7 1984 Barca 2 United 0 CWC QF

March 21 1984 United 3 Barca 0 CWC QF (Agg 3-2)

May 15 1991 United 2 Barca 1 CWC final

October 19 1994 United 2 Barca 2 CL GS

November 2 1994 Barca 4 United 0 CL GS

September 16 1998 United 3 Barca 3 CL GS

November 25 1998 Barca 3 United 3 CL GS

April 23 2008 Barca 0 United 0 CL SF

April 29 2008 United 1 Barca 0 CL SF (Agg 1-0)

May 27 2009 Barca 2 United 0 CL final

Barca 3 wins, United 3 wins, 4 draws

Barca 17 goals, United 14 goals

Friday, May 27, 2011

HEINZE KUONDOKA MARSAILLEArgentine defender Gabriel Heinze ataondoka Olympique Marseille mwishoni mwa msimu, mchezaji huyo zamani wa Man United amesema.
"Nathibitisha kuwa nitaondoka, ni uamuzi mzuri na haihusiani na na Didier Dischamps' future", Heinze amewaambia waandishi wa habari
"Nitacheza mchezo wa mwisho jumapili hii halafu nitaondoka Marseille ".

BARCA AT ARSENAL'S TRAINING GROUNDCarles Puyol na Gerald Pique wakiwa vyumba vya uwanja wa mazoezi wa Arseanal na wakakutwa wanachezea picha Febragas ambaye mwaka jana walimlazimisha kuvaa jezi ya Barca wakati wanashangilia ubingwa wa dunia.

UNITED WAENDA LONDON KWA TRENI,

ggggggggggggggggg


Man United jana ilisafiri kwenda London kwa usafiri wa Train kutoka jijini Manchester na baada ya kufika usiku wakaenda Prince Edward Theatre kuangalia series ya Jersey Boys.

Pweza Pulpo Iker atabiri Man United kuifunga BarcaPweza Pulpo Iker ametabiri Man United wataibuka United wataibuka na Ubingwa wa Ulaya katika fainali ya UCL kesho jumamosi.Pweza Iker ambaye aliitabiria Real Madrid kuifunga Barca katika fainali ya Copa Dey Rey na pia alitabiri sare ya mahasimu hao katika mechi ya La Liga.

NIA YANGU NI KUBAKI ENGLAND - ANCELOTTI


Former Chelsea manager Carlo Ancelotti hana haraka ya kutaka kurudi kufundisha soka.

The Italian ambaye alifukuzwa kazi na Chelsea last weekend katika siku za hivi karibuni amekuwa akihusishwa na klabu za AS Roma na Queen Park Rangers.
Alipoulizwa kuhusu Roma na QPR na Skysports Ancelotti alisema hajawasiliana na klabu yeyote na bado anamalizia hatua za mwisho za kuvunja mkataba na Chelsea.

"Nia yangu ni kuendelea kubaki England, nimekuwa na miaka 2 mizuri hapa na nimejisikia vizuri na nataka kubaki hapa.Sina haraka kurudi kufundisha kwa sasa, tangu mwaka 1995 sijawahi kupumzika vizuri, nimefundisha kwa muda mrefu na nafikiri huu ni muda mzuri wa kuchukua mapumziko

SIDHANI KAMA MADRID WANATAKA KUNIUZA - BENZEMA


Real Madrid striker Karim Benzema anaamini ataendelea kubaki Santiago Bernebeu msimu ujao.
The 23-year old hajawahi kuwa na msimu mwepesi chini Mourinho ambaye amekuwa akimueka benchi mara nyingi mshambuliaji huyo.
Benzema ambaye mwishoni mwa msimu huu alijitahidi kufunga magoli na kupata nafsi ya kucheza baada ya kuumia kwa Gonzalo Higuian amekuwa akihusishwa na kuuzwa Arsenal au Juventus timu ambazo zimeonyesha nia ya kuhitaji huduma za mshambuliaji huyo.
Akiongea Marca Benzema amesema, "Sifikiri kama Madrid wanataka kuniuza, Mourinho ananiamini, na msimu ujao ujao mtaona mabo mazuri kutoka kwa Benzema".

KOLO TOURE AFUNGIWA MIEZI 6


Manchester City defender Kolo Toure amehukumiwa kwenda jela ya soka kwa miezi 6 baada ya kupatikana na hatia kutumia dawa zakuongeza nguvu mapema msimu huu.
Adhabu ya Kolo imeanza kuanzia mwezi March mpaka September.

Thursday, May 26, 2011

KIKOSI KAMILI CHA UNITED KATIKA FAINAL YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE DHIDI YA BARCELONA.HIVI NDIVYO ILIVYOKUA LUBUMBASHI MAPOKEZI YA MBWANA ALI SAMATTA WATU ELFU HAMSINI WAHUDHURIA UTAMBULISHO WAKE KATIKA UWANJA MPYA WA TP MAZEMBE.


TAJIRI WA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIMUITA MBWANA SAMATTA KUMTAMBULISHA RASMI KWA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU HIYO.

MBWANA ALI SAMATTA AKIMWAGA SPECH KWA MASHABIKI WA TP MAZEMBE.

MBWANA ALI SAMATTA AKIWASILI UWANJANI KWA ULINZI MKALI.

RAISI WA TIMU YA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIWASILI UWANJANI KUMTAMBULISHA SAMATTA KWA MASHABIKI WA TIMU HIYO.


UWANJA MPYA WA TP MAZEMBE UNAOKARABATIWA UKIWA UMEJAA MASHABIKI WA TIMU HIYO KUMSHUHUDIA MBWANA SAMATTA.

UWANJA MPYA WA TP MAZEMBE UNAOKARABATIWA UKIWA UMEJAA MASHABIKI WA TIMU HIYO KUMSHUHUDIA MBWANA SAMATTA.

KABLA YA UTAMBULISHO WA SAMATTA ILIPIGWA SALA KWANZA.

RAISI WA TIMU HIYO AMBAYE NI TAJIRI WA TP MAZEMBE AKITAO HOTUBA KWANZA.

MASHABIKI WA TP MAZEMBE WAKIWA WANAMSHANGILIA SAMATTA BAADA YA KUWASILI UWANJANI HAPO.

MAELFU YA WATU WAKIINGIA UWANJANI
.

SIMBA SPORTS CLUB YAWASILI CAIRO.Wawakilishi wa Tanzania bara katika michuano ya klabu bingwa ya barani Afrika wekundu wa msimbazi Simba sports club, wamewasili jijini Cairo asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wa kuamua timu itakayofuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa wa Afrika.

Simba wataikabili Wydad Cassablanca ya Morocco katika mchezo utakaopigwa kwenye Petrosport stadium huko Cairo Egypt mnamo May 28, hapo siku ya jumamosi.

Msafara wa jumla ya watu 26, umeondoka usiku wa kuamkia hivi leo kuelekea Cairo, lakini mshambuliaji Ahmed Ally Shiboli akisalia nyumbani, baada ya kuumia kwenye mazoezi ya timu hiyo, kule visiwani Zanzibar.Ndani ya shirikisho la soka la Tanzania TFF, raisi wa shirikisho hilo Leodgar Chilla Tenga anasema kwamba, kwa upande wake ni muumini wa uzalendo, japo anapenda kuona unazi ukiwepo, kwa sababu ya ushindani.

Tenga anasema kwamba, Simba inapaswa kusoma kupitia makosa yaliyofanywa na waliokuwa mabingwa wa Afrika TP Mazembe,lakini kama nchi kila mmoja anapaswa kuwaunga mkoni wawakilishi hao wa Tanzania bara, zaidi ya yote akitoa pongezi kwa uongozi.

Wakati huo huo, Tenga amesema kwamba, kusema kuwa mashindano ya Cecafa ya Kagame yamehamishiwa nchini Tanzania hapana kwani, bado kuna mambo mengi yanatakiwa kufanyika, na zaidi akiwaomba Watanzania walifanyie kazi jambo hilo, ili fedha zipatikane kwa ajili ya kufanyika.

Tenga anasema kwamba ni muhimu sana kwa timu zetu kupata nafasi ya kucheza mashindano ya kimataifa, kwa sababu ya kuwapa uzoefu wachezaji wa Tanzania, ili kuwa bora, hivyo sasa wanachoangalia zaidi ni kupata mtu atakasaidia chakula usafiri na malazi.

KLABU YA YANGA IPO KATIKA MCHAKATO WA KUTAFUTA SULUHU.Klabu bingwa ya kandanda ya Tanzania bara Dar es salaam Young Africans, ambayo ilifungiwa na baraza la vyama vya kandanda vya ukanda wa Afrika ya mashariki na kati kushiriki katika michuano yake ya ukanda huu, sambamba na kupigwa faini, ipo kwenye mchakato wa kutafuta suluhu.

Miamba hao wa Tanzania bara, walifungiwa miaka miwili iliyopita na Cecafa, na kupigwa faini ya dola za kimarekani elfu thelathini na tano, kwa kitendo chao cha kugomea mechi ya kusaka mshindi wa tatu wa michuano hiyo ilipofanyika jijini Dar es salaam dhidi ya mahasimu wao Simba.Kwa mujibu wa afisa wa habari wa klabu hiyo Louis Sendeu anasema kwamba, walikuwa kwenye mazungumzo na katibu mkuu wa Cecafa Nicholaus Musonye, juu ya kupunguziwa adhabu hiyo, hasa baada ya kuona kwamba sasa muda umefika kwa wao kuwa na umuhimu wa kushiriki katika michuano hiyo, na zaidi wanashindwa kuulaumu uongozi uliopita.

Kwa upande wa pili, suala la usajili ndani ya klabu hiyo bingwa ya Tanzania bara, Sendeu anasema kwamba wanakwenda vizuri, na wamehakikisha wanafuata yale yaliyoachwa na kocha mkuu wa klabu hiyo, Sam Timbe aliyeko nyumbani kwao nchini Uganda.

Pia amezungumzia juu ya suala la kiungo wa kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima, na mnamo mwezi ujao wanandinga wa klabu hiyo wanatarajiwa kuanza kuwasili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu ya kandanda ya Tanzania bara kwam msimu wa 2011/12 na michuano ya kimataifa baadae.


Upande mwingine, shirikisho la soka la Tanzania TFF limesema kwamba, kamati yake ya utendaji haiwezi kuiombea msamaha Young Africans, kutokana na makosa waliyofanya, ya kugomea mchezo wa kusaka mshindi wa tatu.

Raisi wa shirikisho la soka la Tanzania TFF, Leodgar Chilla Tenga anasema kwamba, Young Africans wanatakiwa kuomba msamaha wenyewe, kwani ukivunja kanuni utaadhibiwa, lakini kama watakuwa wameomba msamaha basi watakuwa wamefanya jambo la busara sana, na moja kati ya mambo mabaya yaliyokuwa yamefanyika nchini katika soka, ni kitendo kile, lakini kama Cecafa watakaa.FULHAM KUCHEZA EUROPA LEAGUE MSIMU UJAO


Fulham watacheza ligi ya Europa msimu ujao ingawa wamemaliza katika nafasi ya 8 katika EPL.
Watoto wa Mohamed Al Fayed wamepata nafasi kupitia Premier League Fair Play ambapo wameshika nafasi ya pili kwa fair play nyuma ya Chelsea.
Fulham wamepata red card moja tu katika msimu mzima.

MBWANA ALI SAMATTA AKIWA NA KIKOSI CHA TP MAZEMBE ALIPOTAMBULISHWA RASMI NAKUPEWA JEZI NAMBA 20 AKIWA MAZOEZINI

HUYU NDIO MWAMUZI WA FAINALI CHAMPIONS LEAGUEMwamuzi Victor Kassai ameteuliwa kuchezesha mchezo wa fainali ya champions league kati ya Man United vs Barcelona.
Kassai ameshachezesha mechi zaidi ya 60 za UEFA tangu alipoanza mwaka 2001, amechezesha mechi moja ya Europa league na tano za UCL msimu huu ukiwepo mchezo wa kwanza kati ya Inter Milan vs Bayern Munich, Valencia vs Man UTD na alichezesha nusu ya world cup 2010 kati Germany vs Spain.
Kassai ambaye ni raia wa Hungary atasaidiwa na waahungary wenzie Gabor Eros na Gyorgy Ring.na mwamuzi nne atakuwa Istvan Vad,

BREAKING NEWS - FIRST ELEVEN YA UNITED VS BARCA


ALEX FERGUSON amekichagua kikosi kilichopambana na Schallke katika mechi ya kwanza kwa ajili Champions League Final jumamosi dhidi ya Barcelona.
Hii inaamanisha kuwa Berbatov na Nani wataanzia benchi huku Valencia ataanza upande wa kulia,Micheal Carrick atakuwa na Giggs katikati, Ji Sung Park atajtupa ipande wa kushoto, Rooney na Hernandez watakuwa mbele.
Van der Sar atakuwa l;angoni. fabio, evra,vidic na ferdinand watakuwa ndio walinzi wa siku hiyo.

MAANDALIZI YA ROONEY KWA MECHI KUBWA


Manchester United and England striker Wayne Rooney amefungukaa kuhusu maandalizi anayojiandaa kabla ya mechi kubwa.

KULALA
"Najitahidi kulala angalau kwa masaa nane usiku, pia jioni nalala kwa saa moja au mawili.Nafanya vizuri mazoezi, masaa nane ni sawa.Siwezi kwenda kulala kitandani na kujilazimisha kulala, nitasubiri mpaka nichoke, kawaida nalala saa 5 au organize, arrange systematically; control, impose authority on
“I try to get at least eight hours of sl6 usiku. halafu naamka saa 2."

TASWIRA
"Muda wote napenda kuifikiria mechi usiku kabla, huwa namuuliza mtunza jezi nini tutavaa ili niweze kupata taswira.Ni kitu ambacho siku zote nafanya tangu nilipokuwa teeneger, inasaidia kuuzoesha ubongo wake jinsi hali itakavyokuwa siku inayofuata.Nikilala nawaza ni namna gani nicheze siku hiyo."

CHAKULA
"The night before the game nakula kuku, samaki na vyakula vyote ambayo ningependa kula.Usiku nakula sana coz najua asubuhi sitoweza kula sana.Muda mchache kabla ya mechi kiwanjani napata Coco cops na ndizi na nikifika dressing room nakunywa energy drink."

UTARATIBU
"Nikiwa dressing room nafanya mazoezi ya kuendesha baiskeli kwa dakika 15,halafu najinyoosha then napumzika na kutulia ndani ya chumba cha kubadilishia nguo."

MUSIC
"pATRICE Evra anapenda kuweka music in dressing room (French Hip Hop) lakini kila mtu anasikiliza, ingawa wengine wanapenda na hawapendi lakini ni bora wote tunasikiliza pamoja kuliko team nzima kila mchezaji awe na ipod yakendani ya chumba kimoja."

SAA MOJA KABLA YA MCHEZO
"Nakunywa energy drink katika chumba cha kubadilishia nguo dakika 40 kabla ya mechi halafu naenda ku-warm up, kwa 30 dakika.Dakika 10 kabla game haijaanza narudi dressing room, navaa jezi yangu na shinpads and then naenda uwanjani.Muda huu uwa najisikia vizuri lakini saa moja kabla nakuwa tofauti, nakuwa na mshawasha ya kutaka mechi ianze."

SIITEGEMEI KUITWA ENGLAND - MICHEAL OWEN


Michael Owen bado anaamini atapata mkataba mpya na Man United lakini ameshakata tamaa ya kuitwa na Fabio Capello in England squad.
Owen amepata medali yake ya kwanza ya EPL msimu huu, ingawa amekuwa akikalia benchi na inaaminika Ferguson atamwacha baada ya mkataba wake wa miaka kuisha lakini mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool, Newcastle na Real Madrid anasema bado anapenda kubaki Theatre Of Dreams.
The 31-year-old, ambaye alifunga bao lake la kwanza msimu kwenye ligi kuu dhidi ya Blackpool jumapili iliyopita alisema "Nataka kubaki Man United, ni klabu kubwa na nzuri, itabidi nifahamu ndani ya wiki mbili zijazo na nitaongea na Fergie."
"Kwa sasa nimeshakata tamaa ya kuchaguliwa kwenye timu ya taifa na Capello, sijaitwa kuichezea timu yangu tangu mechi ya kirafiki na Ufaransa miaka 3 iliyopita.Inaniuma kutoitumikia taifa langu lakini sina jinsi, mara nilipokoswa kuitwa nilisikita,mara pili pia, lakini baada ya mara 4 na zilizofuata sikuwahi kutegemea tena kuona jina langu on the board." alisema Micheal Owen.

Wednesday, May 25, 2011

JORGE VALDANO AACHA KAZI MADRID


The President of Real Madrid amethibitisha kwamba mkurugenzi wa klabu Jorge Valdano ameacha kazi katika mkutano wa waandishi kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu.
Katika mkutano huo uliofanyika ndani ya conference room @ Bernebeu Florentino Perez alisema "Jorge ameondoka ilikupisha utengenezaji mpya wa muundo wa klabu, tunamshukuru Jorge kwa kazi nzuri aliyoifanya na tunamtakia kheri na tungependa arudi tena hapa baadae."

ZIMEBAKI SIKU TATU KUELEKEA FAINALI KUBWA DUNIANI KATI BARCELONA NA MANCHESTER UNITED KATIKA DIMBA LA WEMBLEY.CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI TASWA.Chama Cha waandishi wa habari za Michezo Tanzania TASWA kimeandaa Mdahalo wa maendeleo ya michezo utakaofanyika Julai 16 mwaka huu jijini Dar es salaam.

Amir Mhando katibu wa TASWA amesema kwamba lengo la Mdahalo huo ni kuwakutanisha wadau wa michezo zaidi ya mia 5 kwa ajili ya kujadili maendeleo ya michezo hapa nchini.

TFF KUKUTANA NA MAKOCHA NA WAAMUZI.Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania TFF kupitia kurugenzi yake ya ufundi inatarajiwa kukutana na makocha pamoja na waamuzi wote wa soka wanaoishi jijini Dar es salaam mwishoni mwa juma hili.

Boniface Wambura Afisa Habari wa TFF amesema kwamba mkutano huo ni muhimu ambao utasimamiwa na Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Sunday Kayuni ukiwa na lengo la kusaidia maendeleo ya soka la hapa nyumbani.

SIMBA SPORTS CLUB KUONDOKA LEO USIKU.Wawakilishi wa Tanzania Bara katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club wanatarajiwa kuondoka nchini leo usiku kuelekea Misri kwa ajili ya pambano lao dhidi ya Wydad Casablanca.

Simba wanatarajiwa kuondoka na msafara wa kikosi cha watu 27 kitakachoongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa TFF Muhsin Balabuu.

Wachezaji watakaokwea pipa usiku huu ni Juma Kaseja Juma, Ally Mustapha, Salum Kanoni , Ramadhani Haruna Shamte, Juma Jabu, Juma Nyosso, Amir Maftah, Kelvin Yondani, Hillarry Echesa, Mohamed Banka, Jerry Santo, Nicholas Nyagawa, Salim Aziz Gilla, Shija Mkina, Ally Ahmed Shiboli, Mussa Hassan Mgosi, Amri Kiemba pamoja na Emmanuel Okwi


Viongozi watakaoambana na timu hiyo ni mwenyekiti Ismail Aden Rage, Makamu mwenyekiti Geofrey Nyange Kaburu, katibu wa timu Evodius Mtawala, Joseph Matore, Cosmas Kapinga, Mosses Basena, Amatre Richard, Abdallah Kibaden Mputa na Iddi Pazi,Ama kwa upande mwingine Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania TFF kupitia kwa Rais wake Leodgar Tenga limeitakia kila la Kheri Simba ili iweze kufanya vizuri katika mchezo huo.

Tenga ameeleza kwamba ushindi wa Simba katika mchezo huo ni muhimu kwa soka la Tanzania kwa kuwa wataitangaza zaidi nchi endapo watafuzu katika hatua ya makundi ya michuano hiyo.
AZAM YASUBIRI TAARIFA KUTOKA TFF KWAAJILI YA MICHUANO YA CECAFA.Azam FC inasubiri taarifa toka TFF kujua kama tutatakiwa kushiriki mashindano ya CECAFA Kagame Cup, Tukipewa Taarifa tutajiandaa kikamilifu na mashindano na tuna uwezo wa kulibakisha kombe kutokana na usajili tulioufanya. Kwa mujibu wa sheria za mashindano ya Kagame Cup, nchi mwenyeji huwakilishwa na timu 2. kutokana na adhabu inayoikabili Yanga, Huwenda tukaewa nafasi ya kushiriki.

BAHATI PEKEE NDIO ITAWAOKOA MAN UNITED - GARY LINEKER


Former England and Barcelona striker Gary Lineker anaamini Man united wanahitaji bahati ili waweze kuibuka mabingwa wa ulaya msimu huu.
Lineker amesema kama Barca wakiwa katika hali nzuri hajui ni vipi United wataepukana na kipigo.
"Barcelona wakiwa na siku mbaya ndio itakuwa silaha ya united dhidi yao, Lineker ameiambia BBC.

BARCELONA NA TOTTENHAM HOTSPURS ZAMWINDA LEANDRO DAMIAO.klabu za barcelona na tottenham zinajianda kuongea na wakala wa mchezaji wa internacionl striker leandro damiao kwa kiasi cha £13.2m kwaajili ya kumsajili mchezaji huyo raia wa brazili.

MECHI YA KUMUAGA GARY NEVILLE MAN U VS JUVENTUS


gary


Usiku wa jana ilifanyika mechi ya kumuaga Gary Neville ambaye amestaafu kuchezaa soka.Mechi hiyo iliusisha wachezaji wa zamani waliocheza pamoja na Neville ndani ya United wakipambana na Old Lady of Turin Juventus na matokeo yakawa bila kwa moja,juve wakiibuka na ushindi.