Search This Blog

Saturday, December 17, 2011

NIZAR KHALFAN

HAPA ILIKUA NI BAADA YA MPAMBANO WA VANCOUVER WHITE CAPS DHIDI YA MANCHESTER CITY.

The Kilimanjaro Stars that shone the brightest

Tanzania's collective performance at the recent CECAFA Cup was by no means sparkling. The squad was predominantly made up of players from the Tanzanian Premier League (TPL), with the exception of TP Mazembe strikers Mbwana Samata and Thomas Ulimwengu.

A win and two losses in the group stage left the tournament hosts third in Group A, but they managed to scrape through to the knock-out round by virtue of a 89th minute Mwinyi Kazimoto goal against Zimbabwe which lifted the Kilimanjaro Stars ahead of Kenya in the third-place mini league.

A 1-0 win over Malawi in the Quarter-finals lifted the home fans spirits, but despite an impressive first half defensive display in the Semi-finals (see Diagram 1 for their tactical shape), they eventually succumbed to a 3-1 loss to Uganda (the eventual winner of this years tournament).


So a disappointing fourth place finish, saw the team average just one goal per game whilst conceding, on average, 1.2 goal per game.

The team's most impressive performers were all midfielders; Shabani Nditi of Mtibwa Sugar, Mwinyi Kazimoto (Simba) and Mrisho Ngassa of Azam FC (I didn't see enough of TP Mazembe strikers Mbwana Samata and Thomas Ulimwengu but both are worth a mention as players with potential).

The starting point for most of the Kilimanjaro Star's attacks was Shabani Nditi. His role in the side was to screen the back four and fill two key functions; sweep in front of the back four when the opposition were engaging Tanzania's midfield unit, and provide the back four with a short passing option if they had the space to play out from the back. Shabani movement, off the ball, therefore would tend to be lateral in covering the space in front of the defensive block.

His distribution in confined areas (in particular short passes) was instrumental in allowing Tanzania to play out from the back in a considered manner. But his most impressive skill was his awareness of opposition runners around him and his ability to close them down effectively before they could pose a threat.

He did have trouble at times knowing when to show players inside or outside, but in this instance, his athletic ability meant he could recover and allow his team to maintain their defensive shape.

As soon as Shabani received the ball in space, one player was always attempting to make himself available: the excellently named Mwinyi Kazimoto. The central midfielder finished the tournament as Tanzanian's top scorer, with two goals in five games, and was by far their most consistent performer. The Kilimanjaro's formation, when attacking, tended to be a 4-1-2-3, with Nditi holding behind midfield duo Mwinyi Kazimoto and Ramadhan Chombo.

Mwinyi's primary role was to receive short passes from Shabani before looking to make forward passes (long or short) to Mrisho Ngasa on the left wing, Nurdin Bakari on the right, or their loan striker (for the Uganda game that was Hussein Javu). Once he made those passes he was extremely effective at making quick forward runs beyond the oppositions defensive line to either create space for one of the other front three or receive the ball and create his own shooting opportunity. Mwinyi has an interesting skill set; his awareness of passing option is good, he's energetic and is a composed finisher in front of goal. He can sometime be let down by selecting the wrong type of pass to make, a sign of his eagerness to force the play.

This lack of patience becomes apparent when he's called into defensive duties. He is excellent at recovering into a defensive position, but is often keen to press and win the ball back, regardless of his team's defensive strategy. But Mwinyi is still young and this dynamic midfielder has bags of potential.

Mrisho Ngassa is a familiar name to Seattle Sounders fans after the young winger spent time with the Sounders earlier this year before returning to TPL side Azam FC. Mrisho wasn't the most consistent performer in the CECAFA Cup but his display against Uganda in the Semi-final was one of the most eye catching of the tournament. The winger is slight, stocky, skillful and lightning quick off the mark. His crossing from wide areas is good, but he's more effective cutting in on the diagonal from the left flank. He could also feasibly operate as a forward in a 4-4-2, but would need to be coached in how to work in a more central position.

Similar to Mwinyi, his defensive abilities are okay, but need improvement. His pace allows him to recover or press, depending on the system, but he tends to jump into challenges which can leave his supporting full back exposed to a 2v1 overlap.

Despite being small Mrisho speed and low centre of gravity gives him to the ability to burst past opponents in 1v1 situations. In the game against Uganda he was pushed slightly higher, on the left, than the rest of the midfield block and his pace became a real weapon on the break. Mrisho is a hugely talented prospect and, if given the right application and guidance in the future, will become a real ‘star'.

Friday, December 16, 2011

Guinness Football Challenge-Kalusha Bwalya.

It is a very revealing fact that of the 34 African teams who have competed in the World Cup Finals over the years, foreign coaches have led 24 of them. At the 2010 tournament in South Africa, Algeria’sRabahSaadane stood out as the only African coach among the continent's six finalists.
It’s an alarming statistic, however there is a reason for it. Most African federations, understandably, want a coach with top-level international experience and unfortunately the coaching infrastructure in much of Africa is not sophisticated enough for home grown coaches to be getting these opportunities.
From a playing perspective, Africa is unquestionably now part of the fabric of world football culture. When I was starting out, I was one of the first Africans to play in Europe when I signed for CercleBrugges in 1985 and later PSV Eindhoven at the start of 1989. Now the continent has a reputation for producing some of today’s greatest talents, fulfilling key roles at some of the world’s biggest clubs and playing at the very highest level – Didier Drogba, Samuel Eto’o, Michael Essien, SalifKeita, YayaToure to name but a few.
However, where our players are rapidly catching up with the rest of the football world, our coaches are not. We have a lot of fantastically talented people, both men and women, in our countries but we need to help them learn and develop their coaching abilities so that we can try and bring ourselves to the same level as the rest of the world. And this is why I am such a huge supporter of initiatives that are designed to help African football coaching to move forward. It is a very important part of the African football journey.
I myself am living proof of the benefits of such programmes. It was thanks to the World Coaches programme - an initiative implemented by the Dutch Football Federation that brought coaches to various parts of Africa to pass on their experience - that I did my UEFA A License in 2001/02. And now there are other similar programmes in place such as those provided by the charity Coaching For Hope, or the initiatives implemented by certain European clubs. CAF (Confederation of African Football) has implemented the CAF ‘A’, ‘B’ and ‘C’ Licenses that are ongoing in the whole of Africa and hoping that by 2015 all the Coaches operating in African Football will have been certified by CAF.
These programmes are vital in giving African coaches a chance to achieve greatness. The enthusiasm, energy and potential are already there but the experience and expertise often are not. Whether at a community level or even right up to professional club level in Africa, the knowledge and know-how that qualified European coaches can share will help their African equivalents gradually develop so that they too can reach the same levels as African players have done on the world stage.
For me, football is all about achieving the maximum potential whether you are a player, a coach or a fan, and this is the message that we’re giving out to all viewers of the Guinness Football Challenge TV series. And it’s not just on the TV show that you can do this – I’ve been playing the Guinness Football Challenge game on my mobile phone and it’s a great way to test your football knowledge. Give it a go and find out for yourself, and if you are up to the challenge, you could be partnering Jay JayOkocha, Rigobert Song, Marcel Desaillyor myself in the TV show’s exclusive season finale. Just head to m.guinnessvip.com, where you can register for free, and start playing the game.

Remember to drink responsibly – 18+.

Champions League last 16 draw,Europa League Fixtures








Lyon (Fra) v APOEL (Cyp)

Napoli (Ita) v Chelsea (Eng)

AC Milan (Ita) v Arsenal (Eng)

Basel (Swi) v Bayern Munich (Ger)

Bayer Leverkusen (Ger) v Barcelona (Spa)

CSKA Moscow (Rus) v Real Madrid (Spa)

Zenit St Petersburg (Rus) v Benfica (Por)

Marseille (Fra) v Inter Milan (Ita)

Europa League Fixtures

Thursday, 16 February 2012

AZ Alkmaar v Anderlecht, 32, L1, 20:05
Ajax v Man Utd, 32, L1, 20:05
Braga v Besiktas, 32, L1, 20:05
FC Porto v Man City, 32, L1, 20:05
Hannover 96 v Club Brugge, 32, L1, 20:05
Lazio v Atletico Madrid, 32, L1, 20:05
Legia Warsaw v Sporting, 32, L1, 20:05
Lokomotiv Moscow v Athletic Bilbao, 32, L1, 20:05
Plzen v Schalke 04, 32, L1, 20:05
Red Bull Salzburg v FC Metalist Kharkiv , 32, L1, 20:05
Rubin Kazan v Olympiakos, 32, L1, 20:05
Steaua Bucharest v FC Twente, 32, L1, 20:05
Stoke v Valencia, 32, L1, 20:05
Trabzonspor v PSV Eindhoven, 32, L1, 20:05
Udinese v PAOK Salonika, 32, L1, 20:05
Wisla Krakow v Standard Liege, 32, L1, 20:05

--------------------------------------------------------------------------------

Thursday, 23 February 2012
Anderlecht v AZ Alkmaar, 32, L2, 20:05
Athletic Bilbao v Lokomotiv Moscow, 32, L2, 20:05
Atletico Madrid v Lazio, 32, L2, 20:05
FC Metalist Kharkiv v Red Bull Salzburg, 32, L2, 20:05
FC Twente v Steaua Bucharest, 32, L2, 20:05
Man City v FC Porto, 32, L2, 20:05
Man Utd v Ajax, 32, L2, 20:05
Olympiakos v Rubin Kazan, 32, L2, 20:05
Valencia v Stoke, 32, L2, 20:05

SEMINA YA KUVUMBUA VIPAJI (GRASSROOTS)

Semina ya mafunzo ya kuhamasisha watoto kucheza mpira wa miguu na kuvumbua vipaji (Grassroots) inamalizika kesho (Desemba 17 mwaka huu) kwa tamasha (festival) litakalofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tamasha hilo litakaloshirikisha watoto 1,200 wa Mkoa wa Dar es Salaam wenye umri kati ya miaka 6-12 litaanza saa 3 asubuhi na kumalizika saa 6 mchana kwa mkutano na waandishi wa habari. Mzungumzaji mkuu katika mkutano huo atakuwa Rais wa TFF, Leodegar Tenga ambapo mbali ya grassroots, pia atazungumzia masuala mengine ya mpira wa miguu ikiwemo kujibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari.

COCA COLA DREAM TEAM KWENDA AFRIKA KUSINI

Timu ya kombaini ya Coca Cola iliyotokana na michuano ya Copa Coca Cola inaondoka kesho alfajiri (Desemba 17 mwaka huu) kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kwenye kambi maalumu ya mafunzo ya mpira wa miguu. Wachezaji 14 wanaoondoka ni Peter Manyika, Abdul Mgaya, Pascal Matagi, Mohamed Hussein, Mbwana Ilyasa, Farid Musa, Suleiman Bofu, Salvatory Raphael, Paul James, Miraji Adam, Kapeta Mohamed na Basil Seif. Mafunzo hayo yataanza Desemba 18 mwaka huu, na timu itapata fursa ya kucheza mechi kadhaa za kirafiki. Timu hiyo itarejea nchini Desemba 22 mwaka huu. Desemba 21 mwaka huu timu hiyo ya Copa Coca Cola itashuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) kati ya Orlando Pirates na Golden Arrows itakayochezwa Johannesburg. Viongozi watakaondamana na timu hiyo ni pamoja na kocha Kim Poulsen, daktari Joakim Mshanga na ofisa kutoka kampuni ya Coca Cola ambayo ndiyo imeandaa na kugharamia safari hiyo.

25 WAITWA TWIGA STARS KUIKABILI NAMIBIA

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars), Charles Boniface Mkwasa leo (Desemba 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la mataifa ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Namibia. Mechi ya kwanza itachezwa jijini Windhoek, Namibia kati ya Januari 14 na 15 mwaka huu, na ile ya marudiano itachezwa Januari 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu itaanza mazoezi Desemba 19 mwaka huu kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Wachezaji waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti ofisi za TFF siku hiyo saa 9 alasiri tayari kwa kuanza mazoezi. Wachezaji walioitwa ni Sophia Mwasikili (Sayari Women), Fatuma Bushiri (Simba Queens), Fatuma Omari (Sayari Women), Mwajuma Abdallah (JKT), Asha Rashid (Mburahati Queens), Mwanahamisi Omari (Mburahati Queens), Ettoe Mlenzi (JKT), Zena Khamis (Mburahati Queens), Fatuma Khatib (Mburahati Queens), Maimuna Said (JKT), Fadhila Hamad (Uzuri Queens), Fatuma Mustapha (Sayari Women) na Evelyn Senkubo (Mburahati Queens). Rukia Hamisi (Sayari Women), Mwapewa Mtumwa (Evergreen), Judith Hassan (TMK), Aziza Mwadini (Zanzibar), Sabai Yusuf (Zanzibar), Semeni Abeid (Tanzanite Queens), Zena Said (Uzuri Queens), Pulkaria Charaji (Sayari Women), Tatu Said (Makongo Sekondari), Mwanaidi Hamisi (Uzuri Queens), Hanifa Idd (Uzuri Queens) na Fatuma Gotagota (Mburahati Queens).

CLOUDS FM YAPATA TUZO YA SUPER BRANDS KWA MWAKA WA PILI MFULULIZO.

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy Bw. Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds Fm , katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla inayofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam usiku huu, ambapo makampuni mbalimbali yatapata tuzo hizo kutoka kwa taasisi hiyo, Kituo cha redio cha Clouds ni kituo pekee kilichofanikiwa kupata tuzo hiyo ya Superbrands hapa nchini


LIGI YA ‘MO’ KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAPILI MKOANI SINGIDA

Na.Nathaniel Limu.

Ligi maarufu ya kombe la mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Gullam Dewji inatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 18/12/2011 kwenye uwanja wa Namfua mjini Singida.
Kwa mujibu wa mratibu wa ligi hiyo Katibu wa mbunge Dewji Duda Mughenyi, jumla ya timu 16 za soka za kata ya Manispaa ya Singida zitashiriki ligi hiyo.
Duda amesema Mh. Dewji ametoa jezi 240, mipira 53 na soksi 240 ambapo kila kata imepata jezi pea 15 na soksi 15 kwa ajili ya kufanikisha maandalizi ya kushiriki ligi.
Amesema timu hizo za kata ambazo hazina chembe chembe yo yote ya itikadi ya kisiasa, udini, ukabila, wala rangi, zimegawanywa katika makundi manne ambapo kila kundi litakuwa na timu nne.
Duda amesema kundi A, litakuwa na timu za kata ya Mitunduruni, Ipembe, Utemini na Minga, Kundi B, Majengo, Kindai, Mughanga na Misuna, Kundi C, Unyambwa, Mandewa, Mtipa na Uhamaka na kundi D, Litakuwa na timu ya kata ya Mtamaa, Mungumaji, Unyamikumbi na Mwankoko.
Amesema ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika Januari 21 mwakani, mechi ya fungua dimba ambayo itachezwa Jumapili Desemba 18 mwaka huu, itazikutanisha timu za Mitunduruni na Utemini.
"Mshindi wa kwanza, atapata kombe kubwa hadhi ya dhahabu na shilingi laki moja taslimu, wa pili atapata kombe dogo na shilingi laki mbili, wakati yule wa tatu, atazawadiwa shilingi laki moja", amesema Duda.
Akizungumza kenye hafla ya kugawa vifaa vya michezo ya ligi hiyo, Katibu mpya wa CCM Manispaa ya Singida, Magdalena Ndwete, amewataka wachezaji wa timu hizo, kuheshimu sheria 17 za soka, ili kudumisha amani na utulivu wakati wote wa ligi hiyo.
"Mkifanya hivyo, lengo la mbunge wetu Dewji la kukuza vipaji vyenu, kuwasaidia kujitangaza, kujenga afya na kupanua wigo wa marafiki, litafikiwa kwa ufanisi mkubwa” amesema.
Kwa upande wa waamuzi wa ligi hiyo, Ndwete, amewataka wasijihusishe na vitendo vitakavyochangia kuvuruga ligi hiyo vikiwemo vya upendeleo na uonevu.


Msaidizi wa mbunge Mohammed Dewji Duda Mughenyi akishiriki kugawa vifaa vya michezo kwa ajili ya ligi ya Mo. (Picha zote na Nathaniel Limu).






Vikombe vitakavyoshindaniwa kwenye ligi ya kombe la mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji.





Katibu wa CCM manispaa ya Singida Magdalena Ndwete akionyesha jezi zitakazotumiwa wakati wa ligi ya kombe la mbungeMh. Mohammed Dewji




Katibu wa CCM manispaa ya Singida akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo vilivyotolewa na mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji.

Thursday, December 15, 2011

SIKILIZA SWAGA ZA MBWIGA HAPA!

Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............


Mechi 6 kubwa zinazoweza kushuhudiwa kwenye hatua ya mtoano wa Ligi ya mabingwa.


Hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa mwaka 2011-12 imekamilika na msisimko kwa sasa umehamia kwenye michezo ya hatua ya 16 bora . Hatua ya 16 bora itashuhudia michezo mikali ambayo ratiba yake itapangwa siku ya ijumaa .
Mashindano ya mwaka huu yamekosa huruma kwa washindi wa pili wa msimu uliopita Manchester United ambao wametolewa kwenye hatua ya makundi baada ya kuwa na kawaida ya kupita hatua hiyo kwa wepesi kwa miaka mingi na sasa wamebakia na Ligi ya UEFA Europa kama michuano pekee mikubwa ya kujaribu kutwaa.
Sambamba na United ni mahasimu wao toka jiji la Manchester Man City chini ya Roberto Mancini

Huku timu zilizofuzu raundi inayofuata zikiwa tayari zinafahamika , ijumaa hii timu hizo zitagawanywa katika michezo nane ya hatua ya 16 bora ambapo shughuli itakuwa kufuzu hatua ya robo fainali michezo itakayopigwa mwezi Februari 2012.

Kama zisemavyo sheria za hatua ya mtoano , timu nane zilizoongoza makundi husika zitakuwa kwenye sanduku moja huku washindi wa pili wakiwa kwenye sanduku lingine . Timu zitapangwa kucheza katika michezo miwili ya nyumbani na ugenini huku timu zilizongoza makundi zikiwa na faida ya kucheza michezo ya marudiano kwenye viwanja vya nyumbani.

Vigezo vinavyozingatiwa katika upangwaji wa ratiba za michezo ni kama timu zinazotoka kwenye shirikisho au chama kimoja cha soka haziewezi kukutana kwenye mchezo katika hatua hii na timu zilizokuwa kwenye kundi moja pia haziwezi kukutana.
Kwa maneno rahisi Chelsea haiwezi kucheza na Arsenal kwa kuwa zote zinatoka England na Bayern Munich haiwezi kupangwa na Napoli kwa kuwa timu hizi zilikuwa kundi moja.
Baada ya kuyaona hayo tuone baadhi ya michezo ambayo inaweza kushuhudiwa katika hatua hii.


Internazional Milan vs. Olympique Marseille

Inter Milan na Olympique Marseile zimewahi kutwaa ubingwa wa ulaya miaka ya nyuma . Inter wametwaa mara tatu na wametwaa hivi karibuni msimu wa mwaka 2010 baada ya kuwafunga Bayern Munich na Marseile wametwaa mara ya mwidho mwaka 1993 wakati waliwafunga Ac Milan .
Safari hii, Marseile wanaonekana kupata tabu kwenye michuano ya nyumbani na ukitazama wanaweza kuonekana wana nafasi ya kuwatoa Wataliano Inter Milan. Ushindi katika mchezo huu unaweza kuirejeshea Marseile Morali yao ambayo imepotea hususan kwenye ligi ya nyumbani pamoja na kampeni yao ya kurejesha ufalme wao wa ulaya uliopotea miaka ya 90.Inter kwa upande wao wamekuwa na msimu wa tabu sana kwenye ligi ya Serie A kama wenzao wa Marseile na hii ndiyo nafasi yao kubwa ya kuijenga upya klabu yao katika miezi hii ambayo Claudio Ranieri anahangaika kurejesha hali ya kujiamini kwa wachezaji wake.

SL Benfica vs. Bayer Leverkusen

Benfica ni moja ya timu zenye mafanikio makubwa sana toka nchini Ureno hususan kwenye michuano ya ulaya . Timu hii imetwaa ubingwa wa ulaya mara mbili huku ikimaliza kwenye nafasi ya pili mara tano . Hata hivyo mataji yao yote yalikuja kwa kufuatana kwenye misimu ya mwaka 1961 na 62 . Wapinzani wao wa nyumbani Fc Porto wametwaa mataji mawili ya ligi ya mabingwa katika miaka ya 1987 na 2004 lakini bado hawajapata nafasi ya kuwazidi wapinzani wao Benfica.
Nao Bayer Leverkusen wamewahi kufika fainali mara moja tu mwaka 2002 walipofungwa na bao la mwaka huo la Babu Zizou.

Arsenal vs. Napoli

Arsenal wameonekana kufanya vyema kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na wanaonekana kuamka usingizini pia kwenye ligi ya England tofauti na mwanzoni walipoonekana kuwa na kwikwi kwenye miezi ya kwanza .
The Gunners wamekuwa na bunduki ya hatari inayofahamika kwa jina la RVP na ‘perfomance yake msimu huu inaonekana kumfanya astahili kuwemo kwenye orodha ya wachezaji watakaowania tuzo mbalimbali mwisho wa msimu.
Napoli wanajivunia silaha tatu za maangamizi , Marek Hamsik, Ezequiel Lavezzi na Edinson Cavani. Mechi kati ya timu hizi inaweza kuwa mechi yenye mashambulizi kuliko zote katika hatua hii ya mtoano.

Chelsea vs. CSKA Moscow

Chelsea haijawahi kutwaa ubingwa wa ulaya katika historia yake. Nafasi yao pekee ilikuwa kwenye mchezo wa fainali mwaka 2008 wakati walipofungwa na Man United kwa penati katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Luzhnikhi nchini Urusi.
Mechi kati ya Chelsea na CSKA Moscow inaweza kuwashuhudia Chelsea wakirudi kwneye uwanja walikolitazama Kombe la Ligi ya mabingwa likiwapita pembeni hivi hivi. Hali ya hewa ya mwezi februari nchini Urusi ni baridi kali na hiyo huwa sababu ya timu nyingi kushindwa zinapoenda kucheza nchini urusi kwenye miezi hiyo.
Chelsea wamekuwa wakipata tabu kutatua tatizo la safu ya ushambuliaji . Huku kukiwa na miezi miwili ya maandalizi kabla ya mchezo huu matatizo ya Chelsea yanaweza kuwa yamepatiwa ufumbuzi na hujui nini kitatokea Chelsea itakapokuwa imekamilika.

CSKA Moscow ilimaliza kwenye nafasi ya nne kwenye msimu wa ligi ya Uurusi iliyoisha miezi ya karibuni , na hii inamaanisha kuwa mwakani hawatacheza kwenye ligi ya mabingwa na badala yake watacheza kwenye ligi ya Europa . Walimaliza kwa sare moja na wakafungwa michezo miwili ndio sababu ya timu hii toka Moscow kumaliza kwenye nafasiya nne wakishushwa toka nafasi ya pili waliyokuwa kwa muda mrefu.Wakati The Blues wakiwa na miezi miwili ya michezo mbeleni mwao , CSKA Moscow wana miezi miwili ya kupumzika , jambo ambalo linaweza kuwafanya waondoke mchezoni hadi kufikia mwezi februari . Vijana wao Kina Seydou Doumbia na Keisuke Honda watakuwa muhimu sana kwa tmu yao kwenye hatua hii.
Mechi kati ya timu hizi inaweza kuwa na ushindani wa hali ya juu huku warusi wakiwa na hamu ya kumuumiza mrusi mwenzao Roman Abramovic ambaye kwa upande wake angependa kuishuhudia Chelsea ikitwaa ubingwa wa Ulaya.

FC Bayern Munich vs. AC Milan

Kwa kuwa Inter Milan na Bayer Munich zote zimeshika nafasi za kwanza kwenye makundi yao hatutashuhudia fainali ya mwaka 2010 ikirudiwa . Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa sana wa mchezo kati ya wapinznai wakubwa wa Inter , AC Milan na Bayern Munich . Huu utakuwa mchezo kati ya mabingwa wa kihistoria wa Ulaya huku Milan wakiwa na mataji 7 na Bayern wakiwa na mataji 4.
Bayern ndio timu bora toka Ujerumani kuwahi kushiriki kwenye michuano ya ulaya na mafanikio yao yanadhihirisha ukweli wa hili . Msimu huu wametawala vyema ligi ya ujerumani japo wamekuja kupunguzwa kasi hivi karibuni .
Milan wako nyuma ya vinara wa Serie A kwa pointi mbili na wanaonekana kuelekea kuzuri . Perfomance ya Zlatan Ibrahimovic kwenye ligi ya mabingwa imekuwa ya wasiwasi kidogo lakini bado anayo nafasi ya kuipa mafanikio timu yake kwenye mchezo kama huu.

Real Madrid vs. AC Milan

Mchezo kati ya AC Milan na Real Madrid ni aina ya mechi ambazo watu wanaota kuzishuhudia , kama ilivyoelezwa hapo awali Milan wana mataji 7 ambayo yamezidiwa na timu moja tu nayo Ni Real Madrid wenye mataji 9.
Mafanikio ya hivi karibuni ya Milan yalikuwa mwaka 2007 baada ya kuwafunga Liverpool waliokuwa na kumbukumbu ya miujiza ya mwaka 2005 kule Istanbul.
Madrid hawajatwaa taji lingine tangu walipotwaa mara yao ya mwisho mwaka 2002 baada ya kuwafunga Bayer Leverkusen kule nchini Scotland . Wahispania hawa hawajawahi kurejea kwenye utawala wao wa kawaida kwenye michuano ya ulaya tangu utawala wa wapinzani wao Barcelona ulipoanza , hata hivyo mchezo kati ya Milan na Madrid unaweza kuwa wa kiistoria hasa ukizingatia ukweli kuwa timu hizi zina hasira kama mbogo aliyejeruhiwa zikisaka kurejesha falme zao zilizotekwa na wapinzani wao Inter Milan na FC Barcelona katika miaka ya hivi karibuni.

Mwisho.

Huku kukiwa na michezo mingine mikubwa inayoweza kuibuka kwenye hatua hii kama vile FC Barcelona na Napoli au Apoel FC na FC Basel , michezo hiyo iliyotajwa hapo juu ndiyo mikubwa inayoweza kushuhudiwa kwenye hatua ya mtoano , tungoje kuona itakavyokuwa.

SIKILIZA MAKALA YA HISTORIA YA ZAMOYONI MOGELLA ' GOLDEN BOY '

HAPA NI WAKATI MOGELLA YUPO SIMBA.
HAPA NI WAKATI MOGELLA ALIPOKUA ANAICHEZEA YANGA.
HUYU NI BWANA KASHIGOLLA ALLY, ALISOMA NA MOGELLA PIA NI RAFIKI YAKE TANGU UTOTONI.
Huyu ndiye MOHAMED MSOMALI KOCHA ALIYEMTOA ZAMOYONI MOGELLA.
Hapa nikiwa Mh SHAMIM KHAN,alikua mwalimu wa Zamoyoni Mogella shule ya msingi KIKUNDI pale Morogoro.





SIKILIZA MAKALA YA MAISHA YA Mr EBBO.

MAREHEMU MR EBBO AKIWA NA MSANII HUSSEIN KWENYE STUDIO YAKE YA MOTIKA MJINI TANGA.

HIKI NI KIKOSI CHA PAMBA YA MWANZA ' TP LINDANDA '

Nikikiona kikosi hiki hakika namkumbuka mtangazaji maarufu wa RTD wakati huo marehemu Dominic Chillambo,ambae alikuwa anatangaza soka la wa TP Lindanda kwa raha zake zoooooote, na ukisikia tu anavyoanza kutaja ile line up tu, akitaja kila jina moja mara mbili, mfano naaaaambari moja ni Paul Rwechunguraaaa, kisha atarudia tena Paul Rwechungura ni naaaambari moja, ...Je wewe unakumbuka nini hapa...hebu ntajie kikosi hiki kilichotesa miaka ya mwishoni mwa 80 hadi kati mwa miaka ya 90!

Tofauti ya tamaduni kati ya England na Italia Ndani ya uwanja

1) Italia, siku ya Jumapili watu huenda Kanisani, kisha wanakwenda katika mechi halafu wanakwenda nyumbani, wakati England watu wanaamka na kwenda baa halafu wanakwenda katika mechi kabla ya kurudi tena baa.

2) Italia mashabiki wanakula pasta na meatballs kisha wanashushia Wine nyekundu kabla ya kwenda uwanjani, wakati England, wanabugia Kababu na chips na kisha kujimwagia bia nyingi tumboni kabla hawajakwenda uwanjani.

3) Italia Polisi wanakuruhusu kulirushia basi la wachezaji machungwa, Uingereza utaishia Jela ukifanya hivyo…

4) Italia mashabiki wanajiheshimu wakienda ugenini, lakini wakiwa nyumbani wanakuwa wehu, wakati England mashabiki wanajiheshimu nyumbani wakienda ugenini wanageuka kuwa wehu wakubwa.

5) England, mashabiki wanakaa kwa amani katika viti vyao, wakati Italia viti vinatumika kama silaha.

6) England, maaskari waangalizi wa viwanja huwa wanatazama uwanjani, wakati Italia maaskari huwa wanatazama mechi inayoendelea.

7) England, kama unataka kununua kitu Fulani chakula inabidi unyanyuke na kwenda zako hoteli au baa iliyopo uwanjani. Italia unakaa hapo hapo ulipo huku ukimpigia kelele muuzaji ambaye anakuwa amesimama kando yako kwa mita 20 tu. Unawapa mashabiki wenzako noti yako mpaka inamfikia muuzaji. Hii ni kama uwanja wetu wa taifa vile…….

8) England, kama una nguvu, kasi na imara kuweza kucheza dakika 90 bila ya kusimama basi wewe unachukuliwa kama mchezaji mahiri hata kama una akili ndogo kama Punda. Italia, kama una akili na mbinu nzuri unachukuliwa wewe ni mchezaji mahiri hata kama una kasi ndogo kama Konokono.

9) England, kama SKY Sports wakisema Peter Crouch ni mchezaji bora duniani, nchi nzima inasikiliza na kuamini huku baadhi wakieneza maneno hayo, lakini kituo cha SKY Italia kikisema Simone Loria ni mlinzi bora duniani, nchi nzima inakata uhusiano wake na kituo hicho cha televisheni.

10) Italia, vitu kama kumvuta mchezaji mwenzako jezi, kujirusha, kumchezea mwenzako rafu mbaya, vinachukuliwa kama sehemu ya mchezo, wakati England vinachukuliwa kama ujeuri na mchezo usio wa Kiungwana

11) Italia, kulinda lango bado kunahitaji kucheza soka la akili, wakati England, kulinda lango ni kucheza vita na kwenda kinyume na utamu wa soka.

12) Italia, kama timu iko nyuma kwa mabao 3-0, wachezaji wote wanakata tamaa huku mashabiki wakiitukana timu nzima. Wengine wanakwenda kuvunja vioo vya mchezaji aliyecheza ovyo zaidi huku pia wakivamia mazoezi ya timu kesho asubuhi. England, timu hata kama imefungwa mabao 8-0, wachezaji wanaendelea kupigana uwanjani huku wakiufukuzia kila mpira. Mashabiki wataendelea kuwashangilia wachezaji wao bila ya kujali.

13) England, mwamuzi mbaya anahukumiwa kuwa amekosa ushindani, wakati Italia mwamuzi mbaya anaambiwa amechukua rushwa.

14) England mara baada ya mechi za mwisho zinapomalizika, asilimia 99 wanaonyesha ‘Highlights’ wakati asilimia 1 tu wanaonyesha uchambuzi. Italia wanatumia asilimia 1 kuonyesha highlights, na wanatumia asilimia 99 kufanya uchambuzi (slow-motion replays).

15) England, ni mara chache kumsikia Mwenyekiti wa Klabu akiongea kuhusu mpira. Wao wanajali biashara zao na kukaa mbali na vyombo vya habari. Italia, Marais wa klabu ni vichaa na kila siku wanatoa kauli za utata kwa vyombo vya habari. Mfano ni Rais wa klabu ya Palermo, Maurizio Zamparini ambaye haishiwi kauli za utata.

PAUL POGBA MBIONI KUONDOKA MANCHESTER UNITED


Kinda la klabu ya Manchester United Paul Pogba yupo tayari kuikacha ofa ya Sir Alex Ferguson na kufungua mazungumzo na Italian giants Inter Milan.

The French Teeneger, ambaye anatazamwa kama moja ya wachezaji wenye vipaji vikubwa walioandaliwa na Ferguson kwa ajili miaka ijayo, amekaribia kumaliza mkataba wake unaishia mwishoni mwa msimu, which means anaweza akakubaliana na klabu ya nje ya England mapema mwanzoni mwa mwaka ujao.

Washauri wa Pogba wamekuwa wakimtafutia soko kwa kila njia na Inter ndio wanaonekana kuongoza mbio za kutaka saini yake.

Fergie amekuwa akitumaini kwamba Pogba atakubali kuendelea kukaa OT, ambapo kwa sasa anaweza kutumika kama mbadala wa majeruhi Darren Fletcher na Anderson katika ngwe ya pili ya msimu.

However, camp ya Pogba na washauri wake, ambao pia wanamuwakilisha mchezaji wa Manchester City Mario Balotelli wanaonekana wakitaka mchezaji huyo aondoke Theatre of Dreams.

Ferguson anategemewa kumfungia kabisa vioo Pogba kama hatokubali kuwa commited na Man U, akimuacha nje ya kikosi kwa muda wote uliobakia wa mkataba wake.

United suspect Pogba tayari ameshafanya uamuzi wa mwisho kuondoka Old Trafford na tayari wanasemekana wameanza kumtafuta kuingo kinda mbadala wake ndani ya kikosi chao.

ROBIN VAN "MAGOLI" PERSIE ABAKISHA MAGOLI MATATU KUIFIKIA REKODI YA ALAN SHEARER



Mshambuliaji wa Arsenal Robin Van Persie amebakisha jumla ya magoli matatu ili kuweza kuifikia na kuivunja rekodi ya Alan Shearer kwa kufunga magoli mengi katika ligi kuu ya England ndani mwaka mmoja.


listi ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani mwaka 1.


1. Alan Shearer (1995) 36



2. Thierry Henry (2004) 34



3. Robin van Persie (2011) 33



4. Alan Shearer (1994) 30



5. Les Ferdinand (1995) 30



6. Ruud van Nistelrooy (2003) 30



7. Alan Shearer (2002) 27



8. Matt Le Tissier (1994) 27


HIGUAIN AHITAJIKA CHELSEA KWA £30MILLION


Taarifa kutoka Daily mirror zinasema klabu ya Chelsea wanapanga kuzitumia pesa watakazopata katika mauzo ya wachezaji Nicolas Anelka na Fernando Torres kumnunua Muargentina Gonzalo Higuain kutoka Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa £30million.

Ingawa bado hawajaanza mazungumzo rasmi na Real Madrid , chanzo cha habari kutoka ndani ya The Blues kilisema kwamba wameshaonyesha nia ya kumuhitaji mshambuliaji huyo ili kuweza kukiongezea nguvu kikosi chao na kuweza kuhimili ushindani mkubwa uliopo msimu huu.

AVB, manager wa Chelsea anamuona Higuain kama suluhisho la tatizo la ushambuliaji linaloikumbuka timu hiyo kutokana na kiwango kibovu cha Torres, kuondoka kwa Anelka, akiwa na anabakiwa na Didier Drogba pekee ambaye nae katika siku za hivi karibuni ameonekana kuandamwa na majeruhi. Mshambuliaji mpya Romelu Lukaku bado anahitaji uzoefu ili kuweza kufanya vizuri katika mikikimikiki ya ligi kuu ya England.

Higuain inasemekana kutokuwa na furaha ndani kikosi cha Real Madrid kutokana na kuwa chaguo la pili la Mourinho nyuma ya in form Karim Benzema.

TOTTI: NAFIKIRIA KUONDOKA AS ROMA


Nahodha na kipenzi cha timu ya AS Roma Francesco Totti ame-react kwa hasira juu ya lawama anazozipata kutoka mashabiki wa timu yake hadi kufikia hatua ya kusema anafikiria kuihama klabu hiyo ambayo ameitumikia kwa maisha yake yote.

The 35-year old forward amekuwa katika kiwango kibovu chini ya utawala wa kocha Luis Enrique msimu huu na mpaka sasa hajafunga goli hata moja, huku akikosa penati muhimu usiku wa Jumatatu katika droo ya 1-1 kati ya Roma na Juventus.

Roma walitumia pesa nyingi katika usajili kiangazi kilichopita, wakiwasajili wachezaji wenye makubwa wakiwemo washambuliaji wawili, Bojan Krkic na Pablo Osvaldo.

Akiongea na Sky Sport Italia kabla ya dinner ya klabu hiyo kuikaribisha krismasi Totti alisema: “Nimefikiria kuhusu kuondoka Roma, especially recently. Nimesikitika kwa kusikia taarifa ya zilitolewa na mashabiki wa Roma. Kama wana matatizo na mimi kuendelea kuwa hapa, nitaendelea kufikiria kuondoka.”

Totti alianza kuichezea Roma in March 1993, huku kocha wa zamani Vujadin Boskov akimchagua kucheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Brescia mechi ambayo Roma walishinda 2-0, kipindi hicho Totti alikuwa na miaka 16.

Mshambuliaji huyo kwa sasa anashikilia nafasi ya tano katika listi ya wafungaji bora wa muda wote wa ligi ya Serie A, akifunga magoli 207 katika mechi 481 mpaka sasa.

Roma wapo nafasi ya 10 in Serie A mpaka sasa na wanakabiliwa na mtihani mgumu kwenda kwa Napoli jumapili hii.

Wednesday, December 14, 2011

RONALDO, ZIDANE, FIGO, DROGBA WAUNGANA KUCHEZA MECHI YA HISANI DHIDI YA HAMBURG







DE LIMA STILL GOT THE SKILLS

Legend: Gheorghe Hagi
Portuguese hero: Luis Figo
GHEORGHE HAGI FIGO

Fancy footwork: Didier Drogba shows off to Edgar Davids
Master at work: Zinedine Zidane

VACANCY ANNOUNCEMENT FOR THE POSITION OF LEAGUE COMMITTEE DESK OFFICER


Tanzania Football Federation (TFF) invites applications from suitably qualified Tanzanian for the position of League Committee Desk Officer.

TFF VISION:

To transform Tanzania football to the highest standards in Africa and in the World.

TFF MISSION:

To develop top level football players and clubs by spotting young stars with the most
potential and providing them with our best attention and facilities in terms of human,
financial and material resources to help them excel, and to provide enjoyment in the
game of football for all people. Football for all is our business.

GENERAL STATEMENT ON ASSIGNMENT:

The League Committee Desk Officer has overall responsibility of administering the Tanzania Premier League and First Division League. She/he reports to the TFF Competitions Director.

SPECIFIC DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

1. He/she is responsible for Premier and First Division leagues under the Director of Competitions with the following responsibilities;
a. Fixtures and draws
b. Venues
c. Logistics-travel and accommodation of match officials
d. Players eligibility as approved by the legal, ethic and player status committee
e. Match officials as approved by the referees committee
f. Compliance with competition rules in collaboration with respective committee
g. Keeping the records of all matches
2. He/she is the link between the league committee and TFF secretariat in the following issues;
a. Allocation of sponsorship funds to both clubs and match officials as per the existing sponsorship contract.
b. Handling of all communications with Premier and First Division stakeholders.
c. All marketing aspects of the Premier League and First Division League.
d. Receive and prepare summary of all matches reports ready to be submitted to relevant departments.
3. He will undertake other duties and responsibilities pertaining to the Premier League and First Division League assigned to him by the Competitions Director.

GENERAL STATEMENT ON QUALIFICATION:

The League Committee Desk Officer must have top level management qualification, knowledge and skills:

SPECIFIC QUALIFICATIONS:

1. Minimum of Bachelor Degree Academic Certificate or its equivalent.
2. Able to speak, read and write English fluently.
3. Age: 30 years and above.
4. A minimum of three to five years experience of successful management of top flight company.
5. A degree in Business Administration, Business Management, Finance, Marketing, Law and Sports management are added advantages
6. Must have integrity, personality and ability to communicate well with subordinates and superiors.
7. Should be computer literate, capable of using key football management software.

KNOWLEDGE:

1. Knowledge of Teams management organization
2. Knowledge of current club’s leadership structures.
SKILLS:

1. Ability to establish, develop and manage execution of plans.
2. Self motivated and capable of working under pressure.
3. Ability to use sound judgment.
4. Ability to mediate.
5. Ability to manage and provide relevant assistance to the committee meetings.
TERMS AND CONDITION OF SERVICE:

The position of League Committee Desk Officer is tenable on a basis of a 2-year renewable contract at a negotiable remuneration package.

MODE OF APPLICATION:

Interested candidates should submit their applications together with their Curriculum Vitae, copies of their relevant certificates/testimonials, telephone/Cellular numbers and names/addresses of at least two referees and by registered mail, courier service, email or dispatch to:

The General Secretary
Tanzania Football Federation
Karume Stadium
P O Box 1574
Dar es Salaam, Tanzania.
Fax: +255 222 861815
Email: tfftz@yahoo.com

The applications should be received not later than 26th December 2011.

MILNER: ARSENAL TEGEMEENI SHIDA KUTOKA KWETU


James Milner amewaonya Arsenal kwamba Manchester City wapo determined kulipiza walichofanyiwa Stamford Bridge.

City wanakutana na Gunners at Etihad weekend hii huku wakiwa na machungu ya kufungwa na Chelsea jumatatu usiku.

Matokeo hayo yalipunguza utawala wa City juu ya msimamo wa ligi kufikia pointi mbili juu ya wapinzani wao Manchester United, lakini kiungo wa England Milner anaamini watafanya kile ambacho wamekifanya tangu kuanza kwa ligi kwa kutoa kipigo kitakatifu kwa Washika bunduki wa London.

“Tumejifunza kutokana na makosa tuliyayafanya katika mchezo dhidi ya Chelsea hivyo Arsenal wategemee mchezo mgumu sana kutoka kwetu. Tuna njaa ya kushinda hasa baada ya kuwa na mchezo mbaya usiku wa Jumatatu iliyopita.”

MILOS KRASIC NJIANI KUELEKEA OLD TRAFFORD


Manchester United wapo karibuni kumsajili winga wa Juventus Milos Klasic ili kuimarisha kikosi chao kilichoandamwa na majeruhi ya kutisha.

Sir Alex Ferguson amewapoteza tayari Darren Fletcher, Nemanja Vidic, Tom Cleverley , Micheal Owen and Javier Hernandez.

Hivyo Fergie anataka kumsaini unsettled Krasic kwa mkopo katika dirisha dogo January linaripoti Daily Mirror.

Timu nyingine ambazo zinamtaka Krasic ni AC Milan na Chelsea.

SPURS NAO WAPO TAYARI KULIPA £20MILLION.


Boss wa Tottenham Harry Redknapp amesema timu yake ipo tayari kumsajili Carlos Tevez kutoka Manchester City kwa ada ya £20million.

The tittle-chasing Londoners wanajipanga kukiongezea nguvu kikosi chao ambacho ndio kimefunga magoli machache kuliko timu yoyote kwenye EPL Top 5.

Katika kuonyesha wapo serious na kuhitaji huduma za Tevez, Spurs tayari wameshaongea na maofisa kutoka Etihad Stadium juu ya uhamisho wa £20million kwa ajili Muargentina Carlitos.

Chanzo cha habari kutoka White Hart Lane kilisema: “Spurs wapo serious juu ya kuhitaji huduma za Tevez, kikwazo pekee kitakuwa ni kama City watakuwa tayari kufanya biashara na moja ya timu ambazo ni wapinzani wao wakuu katika kugombea ubngwa.”

Mshahara wa Tevez pia ni kikwazo lakini Spurs wapo tayari kulipa mshahara huo wakiamini kumpata Tevez ni investment nzuri itakayolipa vizuri.

AC Milan pia wanamtaka Tevez lakini kwa mkopo na makamu wa Raisi wao Adriano Galliani alisema: “Tunajua tayari tuna makubaliano binafsi lakini tunatumai hatokubaliana na klabu nyingine,”

IVI GERVINHO NA KR MULLA HAWANA MAHUSIANO ?

Waswahili wasema duniani wawili wawili , kila mtu lazima anafanana na mtu fulani ambaye anafahamiana naye au asiyefahamiana naye , kuna wengine hufanana kiasi cha mtu kudhani wana undugu fulani wa karibu mathalani wamezaliwa pamoja , umewahi kumtazama kwa karibu Winga wa Arsenal ya England anayetokea Ivory Coast Gervinho na mwanahiphop toka kundi la wanaume halisi KR Mulla , Jibaba mziki CD 700 kama anavyojiita . Hawa jamaa wamefanana balaa , utadhani wamezaliwa pamoja , sasa cha kujiuliza ni je KR ndio kaibia toka Ivory Coast hadi Bongo au Gervinho ndio kaibia toka Bongo hadi Ivory Coast, Swali gumu kujibu lakini itabidi tumhoji vizuri KR na mshua wake watuambie kunani pale kati au Mungu akijalia tukwae pipa hadi Ivory Coast halafu tukwee lingine hadi London tumhoji Gervinho juu ya ukweli wa suala hili.




























HAPA NIKIWA NA ' GERVINHO '











CHEMSHA BONGO! JE HAWA NI KINA NANI ?

John Bocco: 'Huwa nafunga mabao ya Kuvutia'

MSHAMBULIAJI chipukizi wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) John Bocco, ni mmoja ya washambuliaji ambaye mashabiki wengi wa soka nchini ‘hawamkubali’ kivile kutokana na aina ya mchezo wake wa taratibu.
Lakini pamoja na mtazamo wa mashabiki, hali ni tofauti anapokuwa katika klabu yake ya Azam FC, kwani ni mmoja ya wachezaji kipenzi cha mashabiki wa timu hiyo. Bocco amekuwa akifunga mabao muhimu kwa timu yake hiyo tena hata dhidi ya timu za Simba na Yanga.

Mshambuliaji gani unadhani ni bora zaidi kuwahi kucheza naye timu moja?

Bocco: Washambuliaji wote niliopata kucheza nao niliwaona wazuri, sijaju ni kwa sababu ya ‘type’ yangu ya uchezaji kwa sababu nimecheza na washambuliaji wengi wenye aina tofauti na mimi na nimekuwa nikiendana nao, kwa mfano Yahya Tumbo na hivi sasa Ramadhani Chombo “Redondo”, Mrisho Ngassa na Amal Simba wote wapo poa tu.



Kocha gani bora zaidi kuwahi kufundishwa naye?

Bocco: Makocha wengi walionifundisha wamenijenga sana na siku zote nawaona bora sana kwangu, kwani toka nilipotoka chini naamini wao ndiyo siri ya mafanikio yangu haya ya sasa, kwani wengi walinijenga ili niwe mshambuliaji wa kati na si wa pembeni na makocha wote wananitumia hivyo. Pia wananipatia vitu tofauti na vya kisasa zaidi.

Bao gani ambalo ni bora zaidi umewahi kulifunga?

Bocco: Nimekuwa nikifunga mabao mengi mazuri kama unafuatilia mechi zangu utagundua hilo na mabao ninayofunga ni yale yanayofungwa na washambuliaji asilia. Msimu uliomalizika nilifunga mabao ya kuvutia sana na hakika ulikuwa msimu bora kwangu.




Ipi unadhani ilikuwa mechi bora zaidi kwa upande wako?

Bocco: Kila mechi ilikuwa bora sana kwangu kwani kila ninapokuwa uwanjani nawaza kuipatia timu yangu ushindi; ni zile nilizofunga ndizo zilikuwa mechi bora zaidi kwangu kwa sababu malengo yangu yalitimia.

Kikosi gani bora ambacho uliwahi kukichezea?

Bocco: Kwa kweli kikosi cha Timu ya Taifa (Taifa Stars) na timu yangu ya Azam FC, kwani siku zote huwa tuna kikosi bora sana, ukweli huwa nafurahi nikiwepo katika timu hizi mbili.