Search This Blog

Thursday, December 15, 2011

ROBIN VAN "MAGOLI" PERSIE ABAKISHA MAGOLI MATATU KUIFIKIA REKODI YA ALAN SHEARER



Mshambuliaji wa Arsenal Robin Van Persie amebakisha jumla ya magoli matatu ili kuweza kuifikia na kuivunja rekodi ya Alan Shearer kwa kufunga magoli mengi katika ligi kuu ya England ndani mwaka mmoja.


listi ya wachezaji waliofunga magoli mengi ndani mwaka 1.


1. Alan Shearer (1995) 36



2. Thierry Henry (2004) 34



3. Robin van Persie (2011) 33



4. Alan Shearer (1994) 30



5. Les Ferdinand (1995) 30



6. Ruud van Nistelrooy (2003) 30



7. Alan Shearer (2002) 27



8. Matt Le Tissier (1994) 27


1 comment:

  1. Hapo sijajua unamaanisha na magori ya champions ligi au hayo magori 33 ni yapi unayozungumzia....manake kama ni ya ligi peke yake ana magori 15 mpaka sasa....na kama nipamoja na ya champ,nadhani kuna mchezaji aliwahi kufikisha magori 42 akiwa England

    ReplyDelete