Search This Blog

Saturday, May 7, 2011

SERENGETI FIESTA SOCCER YAZIDI KUNOGA

KWA BAHATI NZURI LEO BAADA YA PILILA PILIKA ZA KUKAMILISHA TARATIBU ZA SERENGETI FIESTA SOCCER MAPEMA LEO TUMEPATA KUALIKWA CHAKULA CHA MCHANA NYUMBANI KWAO KIJANA MWENZETU SHAFFIH DAUDA , MAPOKEZI TULIOPATA NI MAZURI SANA NGOJA TUPATE MENYU TAARIFA ZAIDI ZINAKUJA ILA KUMBUKA KESHO MAANDAMANO YA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA YANAANZIA SOKO MATOLA MPAKA VIWANJA VYA T. I. A NI KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI.

WAKATI SERENGETI FIESTA SOCCAR INAKOLEA LEO USIKU NI MISS MBEYA

HAYA NI BAHATI YA KIPEKEE KABISA HAPA MBEYA AMBAPO TUKIO KUBWA NA LA KIHISTORIA LITAJIANDIKA KESHO KATIKA VIWANJA VYA T .I.A  AMBAPO KWA HAPA WASHABIKI LUKUKI WA TIMU MBALI MBALI TOKA BARA ULAYA WATAKUWA HAPA WAKICHUANA VIKALI KUWANIA KIKOMBE NA ZAWADI KEM KEM IKIWEMO FEDHA .
LEO USIKU NAKO HAPA MJINI MBEYA NDIO MICHUANO YA KUMSAKA KISURA WA MBEYA NAZUNGUMZIA MISS MBEYA. NA KWABATI NZURI MPASHAJI HABARI WAKO NIMEALIKWA SO LIVE NITAKUDONDOSHEA MATUKIO USIKONDE.

SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA MBEYA KESHO VIWANJA VYA CHUO CHA TIA