KWA BAHATI NZURI LEO BAADA YA PILILA PILIKA ZA KUKAMILISHA TARATIBU ZA SERENGETI FIESTA SOCCER MAPEMA LEO TUMEPATA KUALIKWA CHAKULA CHA MCHANA NYUMBANI KWAO KIJANA MWENZETU SHAFFIH DAUDA , MAPOKEZI TULIOPATA NI MAZURI SANA NGOJA TUPATE MENYU TAARIFA ZAIDI ZINAKUJA ILA KUMBUKA KESHO MAANDAMANO YA SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA YANAANZIA SOKO MATOLA MPAKA VIWANJA VYA T. I. A NI KUANZIA SAA MBILI ASUBUHI.
No comments:
Post a Comment