Search This Blog

Sunday, March 9, 2014

ANGALIA LIVE MECHI YA YANGA VS AL AHLY HAPA - LIVE KUTOKA ALEXANDRIA, MISRI

Unaweza kuangalia mechi ya Al Ahly vs Yanga kupitia hiyo link hapo chini - pia mtandao huu utakuletea live updates katika kila kitakachokuwa kikitokea uwanjani.

http://live2sport.com/al-ahly-sc-vs-young-africans-mar-09-2014-live-stream-score-prediction/

9 comments:

 1. Hpna, leo 2nashnda bao moja au suluhu ya 0-0

  ReplyDelete
 2. Poleni yanga! bado mmeshindwa kuzifikia records za simba..

  Knocking out Arabs is not an easy task.. welcome home mziandalie wiki oljoro jkt

  ReplyDelete
  Replies
  1. Rekodi Ipi ya simba? Ile ya Harrass Al Hadood 5 simba 0 Mara ya mwisho kucheza na timu toka misri au? Tena nakumbuka ilikua ni katika uwanja huu huu aliocheza yanga na mabingwa wa Africa juzi

   Delete
 3. Hivi Simba wameshawahi kuwatoa Al Ahly?hiyo rekodi wanayoisema ni ipi?Ninavyojua mimi rekodi ni kuchukua kombe,sasa hii rekodi ya Simba ni ipi manake kama ni kuifunga timu ya Misri tayari Yanga wameshafanya hivyo.Tutafute rekodi za maana sio hizi sifa za kijinga.Mwakani simba watashiriki mtani jembe wakati yanga na azam wanashiriki tena mechi za kimataifa na simba waje kung'oa viti

  ReplyDelete
 4. Tanzania bado tuna safari ndefu kwenye soka

  ReplyDelete
 5. Safari hii Yanga imejitahidi Sana, haijatoka kwa Mdebwedo!

  ReplyDelete
 6. simba c tu imeshawahi kuwafunga waaarabu wakiwepo wa misri mara tele! bali pia kuwatoa mashindanni kabisa! wakiwepo waliokuwa mabingwa watetezi ZAMALEK

  ReplyDelete
 7. simba c tu imeshawahi kuwafunga waaarabu wakiwepo wa misri mara tele! bali pia kuwatoa mashindanni kabisa! wakiwepo waliokuwa mabingwa watetezi ZAMALEK

  ReplyDelete