Search This Blog

Sunday, March 9, 2014

EXCLUSIVE: HIKI NDIO KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO, KASEJA BENCHI, NIYONZIMA HATOCHEZA

1: Deogratius Munish 'Dida'
2: Mbuyu Twite
3: Oscar Joshua
4: Nadir Haroub 
5: Kelvin Yondan
6: Frank Domayo
7: Simon Msuva
8: Mrisho Ngassa
9: Didier Kavumbagu
10: Hamis Kiiza
11: Emmanuel Okwi

SUB
Juma Kaseja
Juma Abdul
David Luhende
Athuman Idd
Nizar Khalfan
Said Bahanuzi
Jerson Tegete

*Kwenye karatasi ya kikosi niliyokabidhiwa sijaliona jina la kiungo Haruna Niyonzima - taarifa kutoka kwa kocha ni kwamba Niyonzima anaumwa malaria.

5 comments:

 1. tutashinda hari ni kubwa

  ReplyDelete
 2. Niyonzima anachezea mipira sana,mechi ya leo ni kushambulia tu,hatakiwi kabisa.Tuletee mambo kaka

  ReplyDelete
 3. pole kwa Niyonzima.....wachezaji wengine wote Mungu awape nguvu na moyo wa kujitolea....ni matumaini yangu kuwa mambo yatenda vizuri na Yanga ya Tz kuweka historia mpya katika soka la nchi.....Amen.....!!

  ReplyDelete
 4. Nawatakia kila la kheri wana wa Jagwani mshinde bao moja tu

  ReplyDelete
 5. Safi yanga kutolewa mpira hawana maneno tuu karibuni kweny ndondo letu safi waarabu mmetutulizia mjini

  ReplyDelete