Search This Blog

Sunday, March 9, 2014

LIVESCORE: SIMBA 0 - 0 PRISONS - FULL TIME


FT: Prisons 0 - 0 Simba

90' Dakika 2 za nyongeza.

87' Mabadiliko kwa Prisons. Bryton Mponzi anaingi, Peter Michael anatoka. Ngoma bado sare.

82' krosi ya Chau inamkuta Omege Seme anayepaisha kichwa chake nje.

75' Prisons 0 - 0 Simba. Kasi ya mashambulizi kwa pande zote imeongezeka.

73' Kona kwa Simba. Wanaicheza haraka lakini Tambwe anaunawa mpira langoni.

70' Mabadiliko kwa Simba. Anatoka Ramadhan Singano na kuingia Awadh Juma.

66' Yaw Berko anapangua na kuuwahi mkwaju wa Peter Michael.

Mtibwa Sugar imepoteza mchezo wake mwingine wa ugenini na kuipa fursa ya JKT Ruvu ya kujizolea pointi kwa ushindi wa 2-1.
Mbeya Tanzania Prisons na Simba huko Mbeya mpira bado unaendelea matokeo yakibaki bila bila Dk ni 65.

60' Prisons 0 - 0 Simba . Mashambulizi ya pande zote ni hafifu na dhaifu kwa dakika kumi zilizopita.

55' Shuti la Six Mwasekaga linatua mikononi mwa kipa Yaw Berko.

46' Kipindi cha pili kati ya Prisons na Simba kimeanza. Bado ni bila bila.

45' Mpira ni mapumziko na milango bado migumu.

40' Prisons 0 - 0 Simba 

 36' Prisons wanafanya shambulizi la nguvu lakini Yaw Berko anawahi kuokoa hitter.

29' Nurdin Chona wa Prisons na Tambwe wanagongana hewani. Chona anafungwa bandeji kichwani kuzuia damu.

20' Issa Rashid wa Simba yupo nje akipata matibabu baada ya kukumbana na mshambuliaji wa Prisons.

15' Kona kwa Prisons. Inachezwa vizuri lakini kichwa cha Peter Michael kinatoka nje.

11’ Simba wanapata kona ya kwanza

Kutoka Chamazi mpira dakika ya 40 Jkt wanaongoza kwa bao dhidi ya Mtibwa 

10' Prisons 0-0 Simba

05' Prisons 0-0 Simba

Mpira umeanza ndani ya Sokoine Satdium

No comments:

Post a Comment