Search This Blog

Sunday, March 30, 2014

LIVE MATCH CENTRE: SIMBA 1-2 AZAM FC - YANGA 1-2 MGAMBO - FULLTIME


Full time Mgambo 2-1 Yanga

91’ Kelvin Yondani anampiga kichwa mchezaji wa Mgamb

90(+4)’ Mgambo 2 Yanga 1

Fulltime 90(+2) Azam 2 Simba 1

85’ Azam 2 Simba 1

80’ Yanga wanapata kona ya 12. (2-12)

81’ Azam sub: Kipre Tchetche anatoka nafasi yake inachukuliwa na Brian Omony.

Mgambo wanachofanya ni kubutua tu kila mpira unaoenda langoni kwao.

 Simba wanafanya mashambulizi ya nguvu langoni mwa Azam

72’ Azam 2 Simba 1.

65’ Mgambo 2 Yanga 1.

Mgambo JKT wanapata penalty

66’ Simba sub: Henry Joseph anatoka, anaingia Abdulhalim Humud

Dakika ya 65, anaingia Hussein Javu kuchukua nafasi ya Mrisho Ngasa

64’ Simba sub: Ramadhan Singano nje, Twaha Ibrahim anaingia.

Dakika ya 60, Mgambo JKT 1 - 1 Young Africans

 60’ Azam 2 Simba 1.

Yanga wanasawazisha, Nadir Haroub Cannavaro anaisawazishia Yanga

Azam 2 Simba 1
Huko Tanga mashabiki wa mgambo wanarusha vitu uwanjani Kupinga penalti waliyopata Yanga 

 56’ Azam wanapata bao la piliKipindi cha pili kinaanza 

Mpira ni mapumziko, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans

49(+4)’ Mgambo 1 Yanga 0.

HT: Azam 1 Simba 1

Joseph Owino anaisawazishia Simba

44’ Kipa wa Azam Aishi Manula yupo chini baada ya kugongana na mshambuliaji wa Simba Hamis Tambwe.

44’ Azam 1 Simba 0.

 43’ Mgambo 1 Yanga 0.

36’ Mbeya City 1 Tanzania Prisons 0.

 Mchezaji wa Mgambo anaonyeshwa kadi Nyekundu
Mgambo 1 Yanga 0
Prisons 0 Mbeya City 0
Simba 0 Azam 1

Dakika ya 30, Mgambo JKT 1 - 0 Young Africans
Mohamed Neto anatolewa nje baada ya kukutwa na hirizi ndani ya bukta

 28’ Azam 1 Simba 0.

22’ Haruna Chanongo wa Simba anaoneshwa kadi ya njano.

20’ Mgambo JKT 1 Yanga 0

17’ Azam 1 Simba 0.

Hamis Mcha anaipatia Azam bao la kuongoza

15’ Saaaaalaaaale Ivo Mapunda anafanya kazi ya ziada kupangua shuti kaaaaaaaaaaaaaaaaaali. (0-0)

13’ Viungo wa Simba wanatawala dimba la kati

09’ Mbeya City 0 Prisons 0.

04’ Mgambo 1 Yanga 0.

Kipute kinaanza taifa Simba cs Azam 

Mpira umeanza Mgambo vs Yanga.

Mgambo JKT vs Young Africans. Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. #LigiKuu

VIKOSI

SIMBA9 comments:

 1. samahan kk station gan ya radio inatangaza?

  ReplyDelete
 2. I See Legendary Are Nowadays Nothing

  ReplyDelete
 3. Kwa marefa wa Tanzania hakika hatutaendelea hatutakuwa na timu shindani katika mashindano kwa vile mchezaji wa timu kubwa hapewi kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa na kwa hili TFF wanatakiwa kufanya kama FA ya Uingereza wachukue hatua na Yanga wacheze mechi yao ya kuwa sawa na Azam na Mbeya city ili kuepuka kupanga matokeo

  ReplyDelete
 4. Kwa swala na Yondani nadhani kuna haja TFF kuchukua hatua huwezi kuwa na.jazba za kitoto kiasi kile. Tunataka kijenga timu nzuri ya Taifa sio kwa uchezaji kama ule.

  ReplyDelete
 5. YANGA WANAANDALIWA KUWA MABINGWA LAKINI LAZIMA WAJUE YA KUWA "GARI LINALOKOKOTWA HALI OVERTEKI"

  ReplyDelete
 6. Jana nimethibitisha Rage hakukosea alipowaita watu fulani mbumbumbu,inakuwaje unashangilia wakati timu yako inafungwa?

  ReplyDelete
 7. Washabiki wa Simba SC(Mbumbumbu sc) sasa hivi wamehamia Azam fc ndio maana jana walikuwa wanashangilia Azam badala ya timu yao

  ReplyDelete
 8. We we si mpuuzi tu kama Hugo rage? Simba sc jembe, nyie mmepakatwa name mgambo mkapigwa viwili vya fast a fasta.

  ReplyDelete
 9. Yanga wanabebwa mno. Hawana lolote, mastaa kibao lakini Hanna kitu! Ona walivyopakatwa name kupewa mate kiaina na vidume vya mgambo jkt. Mtazalishwa na mastaa wenu kibao.

  ReplyDelete