Search This Blog

Sunday, March 30, 2014

PICHA YA SIKU: MASHABIKI WA MAN UTD WAFANIKIWA KUPITISHA BANGO LA KUMTAKA MOYES AONDOKE JUU YA PAA LA OLD TRAFFORD NA NDEGE

Hatimaye mashabiki wa Manchester United wamefanikiwa kupitisha bango lenye ujumbe wa kumtaka kocha David Moyes aondoke - bango hilo lilipitishwa juu ya paa la uwanja wa Old Trafford muda mchache kabla ya mechi kati ya United vs Aston Villa.

No comments:

Post a Comment