Search This Blog

Wednesday, December 14, 2011

MILNER: ARSENAL TEGEMEENI SHIDA KUTOKA KWETU


James Milner amewaonya Arsenal kwamba Manchester City wapo determined kulipiza walichofanyiwa Stamford Bridge.

City wanakutana na Gunners at Etihad weekend hii huku wakiwa na machungu ya kufungwa na Chelsea jumatatu usiku.

Matokeo hayo yalipunguza utawala wa City juu ya msimamo wa ligi kufikia pointi mbili juu ya wapinzani wao Manchester United, lakini kiungo wa England Milner anaamini watafanya kile ambacho wamekifanya tangu kuanza kwa ligi kwa kutoa kipigo kitakatifu kwa Washika bunduki wa London.

“Tumejifunza kutokana na makosa tuliyayafanya katika mchezo dhidi ya Chelsea hivyo Arsenal wategemee mchezo mgumu sana kutoka kwetu. Tuna njaa ya kushinda hasa baada ya kuwa na mchezo mbaya usiku wa Jumatatu iliyopita.”

No comments:

Post a Comment