Search This Blog

Thursday, December 15, 2011

SIKILIZA SWAGA ZA MBWIGA HAPA!

Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............


No comments:

Post a Comment