Search This Blog

Wednesday, May 25, 2011

JORGE VALDANO AACHA KAZI MADRID


The President of Real Madrid amethibitisha kwamba mkurugenzi wa klabu Jorge Valdano ameacha kazi katika mkutano wa waandishi kwenye uwanja wa Santiago Bernebeu.
Katika mkutano huo uliofanyika ndani ya conference room @ Bernebeu Florentino Perez alisema "Jorge ameondoka ilikupisha utengenezaji mpya wa muundo wa klabu, tunamshukuru Jorge kwa kazi nzuri aliyoifanya na tunamtakia kheri na tungependa arudi tena hapa baadae."

No comments:

Post a Comment