Search This Blog

Thursday, May 26, 2011

FULHAM KUCHEZA EUROPA LEAGUE MSIMU UJAO


Fulham watacheza ligi ya Europa msimu ujao ingawa wamemaliza katika nafasi ya 8 katika EPL.
Watoto wa Mohamed Al Fayed wamepata nafasi kupitia Premier League Fair Play ambapo wameshika nafasi ya pili kwa fair play nyuma ya Chelsea.
Fulham wamepata red card moja tu katika msimu mzima.

No comments:

Post a Comment