Search This Blog

Thursday, May 26, 2011

MAANDALIZI YA ROONEY KWA MECHI KUBWA


Manchester United and England striker Wayne Rooney amefungukaa kuhusu maandalizi anayojiandaa kabla ya mechi kubwa.

KULALA
"Najitahidi kulala angalau kwa masaa nane usiku, pia jioni nalala kwa saa moja au mawili.Nafanya vizuri mazoezi, masaa nane ni sawa.Siwezi kwenda kulala kitandani na kujilazimisha kulala, nitasubiri mpaka nichoke, kawaida nalala saa 5 au organize, arrange systematically; control, impose authority on
“I try to get at least eight hours of sl6 usiku. halafu naamka saa 2."

TASWIRA
"Muda wote napenda kuifikiria mechi usiku kabla, huwa namuuliza mtunza jezi nini tutavaa ili niweze kupata taswira.Ni kitu ambacho siku zote nafanya tangu nilipokuwa teeneger, inasaidia kuuzoesha ubongo wake jinsi hali itakavyokuwa siku inayofuata.Nikilala nawaza ni namna gani nicheze siku hiyo."

CHAKULA
"The night before the game nakula kuku, samaki na vyakula vyote ambayo ningependa kula.Usiku nakula sana coz najua asubuhi sitoweza kula sana.Muda mchache kabla ya mechi kiwanjani napata Coco cops na ndizi na nikifika dressing room nakunywa energy drink."

UTARATIBU
"Nikiwa dressing room nafanya mazoezi ya kuendesha baiskeli kwa dakika 15,halafu najinyoosha then napumzika na kutulia ndani ya chumba cha kubadilishia nguo."

MUSIC
"pATRICE Evra anapenda kuweka music in dressing room (French Hip Hop) lakini kila mtu anasikiliza, ingawa wengine wanapenda na hawapendi lakini ni bora wote tunasikiliza pamoja kuliko team nzima kila mchezaji awe na ipod yakendani ya chumba kimoja."

SAA MOJA KABLA YA MCHEZO
"Nakunywa energy drink katika chumba cha kubadilishia nguo dakika 40 kabla ya mechi halafu naenda ku-warm up, kwa 30 dakika.Dakika 10 kabla game haijaanza narudi dressing room, navaa jezi yangu na shinpads and then naenda uwanjani.Muda huu uwa najisikia vizuri lakini saa moja kabla nakuwa tofauti, nakuwa na mshawasha ya kutaka mechi ianze."

1 comment: