Search This Blog

Thursday, May 26, 2011

BREAKING NEWS - FIRST ELEVEN YA UNITED VS BARCA


ALEX FERGUSON amekichagua kikosi kilichopambana na Schallke katika mechi ya kwanza kwa ajili Champions League Final jumamosi dhidi ya Barcelona.
Hii inaamanisha kuwa Berbatov na Nani wataanzia benchi huku Valencia ataanza upande wa kulia,Micheal Carrick atakuwa na Giggs katikati, Ji Sung Park atajtupa ipande wa kushoto, Rooney na Hernandez watakuwa mbele.
Van der Sar atakuwa l;angoni. fabio, evra,vidic na ferdinand watakuwa ndio walinzi wa siku hiyo.

No comments:

Post a Comment