Search This Blog

Thursday, May 26, 2011

HUYU NDIO MWAMUZI WA FAINALI CHAMPIONS LEAGUE



Mwamuzi Victor Kassai ameteuliwa kuchezesha mchezo wa fainali ya champions league kati ya Man United vs Barcelona.
Kassai ameshachezesha mechi zaidi ya 60 za UEFA tangu alipoanza mwaka 2001, amechezesha mechi moja ya Europa league na tano za UCL msimu huu ukiwepo mchezo wa kwanza kati ya Inter Milan vs Bayern Munich, Valencia vs Man UTD na alichezesha nusu ya world cup 2010 kati Germany vs Spain.
Kassai ambaye ni raia wa Hungary atasaidiwa na waahungary wenzie Gabor Eros na Gyorgy Ring.na mwamuzi nne atakuwa Istvan Vad,

No comments:

Post a Comment