Search This Blog

Friday, May 27, 2011

SIDHANI KAMA MADRID WANATAKA KUNIUZA - BENZEMA


Real Madrid striker Karim Benzema anaamini ataendelea kubaki Santiago Bernebeu msimu ujao.
The 23-year old hajawahi kuwa na msimu mwepesi chini Mourinho ambaye amekuwa akimueka benchi mara nyingi mshambuliaji huyo.
Benzema ambaye mwishoni mwa msimu huu alijitahidi kufunga magoli na kupata nafsi ya kucheza baada ya kuumia kwa Gonzalo Higuian amekuwa akihusishwa na kuuzwa Arsenal au Juventus timu ambazo zimeonyesha nia ya kuhitaji huduma za mshambuliaji huyo.
Akiongea Marca Benzema amesema, "Sifikiri kama Madrid wanataka kuniuza, Mourinho ananiamini, na msimu ujao ujao mtaona mabo mazuri kutoka kwa Benzema".

No comments:

Post a Comment