Search This Blog

Friday, May 27, 2011

NIA YANGU NI KUBAKI ENGLAND - ANCELOTTI


Former Chelsea manager Carlo Ancelotti hana haraka ya kutaka kurudi kufundisha soka.

The Italian ambaye alifukuzwa kazi na Chelsea last weekend katika siku za hivi karibuni amekuwa akihusishwa na klabu za AS Roma na Queen Park Rangers.
Alipoulizwa kuhusu Roma na QPR na Skysports Ancelotti alisema hajawasiliana na klabu yeyote na bado anamalizia hatua za mwisho za kuvunja mkataba na Chelsea.

"Nia yangu ni kuendelea kubaki England, nimekuwa na miaka 2 mizuri hapa na nimejisikia vizuri na nataka kubaki hapa.Sina haraka kurudi kufundisha kwa sasa, tangu mwaka 1995 sijawahi kupumzika vizuri, nimefundisha kwa muda mrefu na nafikiri huu ni muda mzuri wa kuchukua mapumziko

No comments:

Post a Comment