Pweza Pulpo Iker atabiri Man United kuifunga Barca
Pweza Pulpo Iker ametabiri Man United wataibuka United wataibuka na Ubingwa wa Ulaya katika fainali ya UCL kesho jumamosi.Pweza Iker ambaye aliitabiria Real Madrid kuifunga Barca katika fainali ya Copa Dey Rey na pia alitabiri sare ya mahasimu hao katika mechi ya La Liga.
No comments:
Post a Comment