Search This Blog

Thursday, May 26, 2011

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA LUBUMBASHI MAPOKEZI YA MBWANA ALI SAMATTA WATU ELFU HAMSINI WAHUDHURIA UTAMBULISHO WAKE KATIKA UWANJA MPYA WA TP MAZEMBE.


TAJIRI WA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIMUITA MBWANA SAMATTA KUMTAMBULISHA RASMI KWA VIONGOZI NA MASHABIKI WA TIMU HIYO.

MBWANA ALI SAMATTA AKIMWAGA SPECH KWA MASHABIKI WA TP MAZEMBE.

MBWANA ALI SAMATTA AKIWASILI UWANJANI KWA ULINZI MKALI.

RAISI WA TIMU YA TP MAZEMBE MOISE KATUMBI CHAPWE AKIWASILI UWANJANI KUMTAMBULISHA SAMATTA KWA MASHABIKI WA TIMU HIYO.


UWANJA MPYA WA TP MAZEMBE UNAOKARABATIWA UKIWA UMEJAA MASHABIKI WA TIMU HIYO KUMSHUHUDIA MBWANA SAMATTA.

UWANJA MPYA WA TP MAZEMBE UNAOKARABATIWA UKIWA UMEJAA MASHABIKI WA TIMU HIYO KUMSHUHUDIA MBWANA SAMATTA.

KABLA YA UTAMBULISHO WA SAMATTA ILIPIGWA SALA KWANZA.

RAISI WA TIMU HIYO AMBAYE NI TAJIRI WA TP MAZEMBE AKITAO HOTUBA KWANZA.

MASHABIKI WA TP MAZEMBE WAKIWA WANAMSHANGILIA SAMATTA BAADA YA KUWASILI UWANJANI HAPO.

MAELFU YA WATU WAKIINGIA UWANJANI
.

14 comments:

  1. KIUKWELI JAMAA KAOKOTA EMBE CHINI YA MNAZI KAMA HALI ILIKUWA HIVI
    NA BADO NADHANI SAMATTA ATAFIKA MBALI SANA NA KUITANGAZA TANZANIA KUWA SIYO KICHWA CHA MWENDA WAZIMU BALI NI KINYOZI SIKU HIZI

    ReplyDelete
  2. That was superb indeed. Umati mkubwa wa watu inamaanisha wanamwamini na kutarajia makubwa kutoka kwa bwana mdogo. Kazi kwake tu. Mungu mbariki Samatta, MUNGU ibariki soka ya Tanzania.

    ReplyDelete
  3. daaah aiseee hii dhairi ya soka thats y hawa jamaa wanafanikiwa sana katika sanaa... kwanza mapenzi na kitu kisha kazi na mambo mengine... cheki nyomi...duh watu wamehamasika!!!! fundisho kwa TFF na kwetu wananchi..

    ReplyDelete
  4. tanzania kweli ina vipaji sana lakini tatizo ni nchi yetu mwendelezo wa vipaji hivi haupo, kweli kaka vipaji tunavyo cheki mwenyewe tp wanavyompokea samatta wanashauku ya kuwa naye lakini nchi kama nchi haina hii kitu sababu in nini "undugu" tuache maneno mengi kuliko vitendo ili soka liende mbele zaidi ya hapa, wakina samatta wapo wengi watatokea wapi mlango umefungwa, kwali hii labda watokee dirishani kwani mlango si umefungwa kaka.

    ReplyDelete
  5. Hongera Mbwana Sammatta usiwaangushe TP Mazembe. Mapokezi hayo inaonyesha ni jinsi gani wanakukubali.

    ReplyDelete
  6. Kaka ina maana huyu dogo ni noma kihivi??? na kam ni hivyo namwomba aisibwete na upokeo huu kwani anapaswa kujifunza toka kwa Christiano Ronaldo pamoja na mapokezi makubwa na record ya dunia anayoshikilia bado ni staa uwanjani....Arudishe fadhila za umati huu kwa kucheza na kuzidisha soka lake maradufu kama Ronaldo...

    ReplyDelete
  7. Wenzetu wanajua wanafanya nini,na ndio maana TP MAZEMBE wanakua mabingwa, nakumbuka siku ya mechi ya marudiano pale uwanja wa Taifa nilimwambia jamaa yangu tuliyekwenda nae uwanjani kua MAZEMBE wakimuacha Samata wanakichaa. Thanx God kijana kaonesha juhudi na amepata na azidishe juhudi zaidi ili afike mbali.GOD BLESS SAMATE

    ReplyDelete
  8. Mbwana yupo juu sana.Namshauli akomae aje kuwa kama MESS.
    Mungu Mjalie neema,Upendo,Amani na Nyota yake izidi kung'aa kimchezo daima.

    Mohamed kinyunyu.
    Friends of Yanga.

    ReplyDelete
  9. KAKA MIM SIJAMUELEWA SAMMATA,MCHEZAJI UNATAMBULISHWA HUKU UMEVAA KANDAMBILI,JE ANGEAMBIWA APIGE DENADANA KIDOGO INGEKUAJE?.

    ReplyDelete
  10. Duuuuuh! kaka Shafii@No comment..

    ReplyDelete
  11. lakin mbona jamaa yupo kimya hatusikii mambo yake

    ReplyDelete
  12. aiseeeeeeeeeeeeeee kijana anatisha

    ReplyDelete
  13. Kijana ni wa ukweli hapendi kuongea daima anaacha vitendo vyake on the pitch vitanabaishe yeye ni nani. Sure namkubali Samatta huyu ni power tiler na sio jembe tena

    ReplyDelete