Wana Bukoba Veteran wakiwa kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club leo
kulia ni Bw. Jamco, a.k.a Jamal Karumuna akikamatilia Climax..
Wanachama wa Bukoba Veteran kwa furaha wakisikiliza neno kutoka meza kuu
Kiongozi wa Soka Tanzania Ngazi ya TFF Jumanne Chama Umande nae alikuwepo na hapa
alikuwa akitoa neno kiujumla kuhusu mpira na Katiba hiyo ya Klabu ya Bukoba Veteran.
Timu
ya Mainz 05 ya Ujeruman sasa ni Marafiki zao Bukoba Veteran, Hapa ni
Fr. Gerard Rugumila (kushoto) akitoa jezi hizo kutoka Nchini Ujerumani,
Zikiwa ni kutoka kwa Timu ya Mainz 05 ilianza mwaka 1905 huko Ujerumani
na iko Ligi kuu kwa Muda mrefu sasa, Kupitia kwa rafiki yake Willy
Kiroyera Fr. Gerard Rugumila amewapatia Bukuoba Veterans Jezi 22 leo
kwenye kwenye sherehe hiyo ambayo iliambatana na kupata KATIBA mpya ya
Klabu hiyo ambayo ilidhaminiwa na Kampuni ya Mabibo beer wines and
spirits kupitia kinywaji chake maridadi kisicho na kilevi cha Climax.
Kinywaji
cha wanaojipenda na kuthamini Maisha.
Fr. Gerard Rugumila akitoa neno baada ya kukabidhi jezi hizo
Bw. Sunday (kulia) akipitia kwa makini kuuona huo Uzi kutoka Ujerumani
Mkurugenzi na katibu wake.
Fr. Vitus Mrosso (kulia) na Bw. Willy O. Ruta wakisikiliza neno kuhusu Katiba hiyo

Washomire watupu
ReplyDelete