Search This Blog

Monday, March 31, 2014

KICHWANI KWAKO UNAPATA MAWAZO GANI BAADA YA KUISOMA STORI HII...


2 comments:

  1. Imenisisimua sana...dhahiri mpira wa miguu ni mchezo wa kiungwana na jamaa kadhihirisha kitu hicho..fifa wanapashwa kuona alichokifanya!

    ReplyDelete
  2. Ingekua bongo yangetokea maafa zaid, elim juu ya huduma ya kwanza ipo chini sana. Wenzetu wapo serious sana na elim hiyo. Utaona wakat gusev kadondoka kankava alikua ashajua jamaa kapata ajali gan na aende kufanya nini. Ingekua bongo watu wangeishia kushangaa na yangetokea makubwa zaid. Ni tukio baya lakin ltufunze juu ya kukabiliana na majanga hayo

    ReplyDelete