Search This Blog

Monday, January 13, 2014

LEO NDIO ANATANGAZWA MWANASOKA BORA WA FIFA WA DUNIA WA MWAKA 2013, MIMI KURA YANGU NAMPA RONALDO,WEWE UNAMPA NANI KURA YAKO ?
2 comments:

  1. ronaldo atashinda kwa vile yeye kama yeye amefanya makubwa kuliko rebery ambaye amefanya vizuri kwa sababu timu ilikuwa kwenye kiwango cha hatari...messi hawezi kupata kwani hakuna jipya alilofanya..mfanom mzuri ronaldo akikosa realmadri au timu ya taifa utaona pengo kubwa kuliko ribery..ronaldo kaivusha ureno mpaka leo mtaan wanamuimba kama shujaaa wao

    ReplyDelete
  2. Ronaldo, ronaldo, nadhan ndiye anastahili kwakuwa ana vigezo vyote! Asibweteke lakin!

    ReplyDelete