 |
Waungwana baada ya kisomo wakisubiri sadaka |
 |
Sheikh Mussa kulia, kushoto ni Katibu wake Almasi lailly Mussa na nyuma yao ni mwanachama wa Yanga, Mustafa Mohamed, Katibu wa Tawi la Kurasini |
PHOTO CREDITS: Bongostaz.blogspot.com
 |
Madega kulia, akiwa na Sanga kushoto kwake |
 |
Waungwana wakisubiri sadaka baada ya dua |
 |
Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa kulia, Madega na Sanga |
 |
Sheikh Mussa katikati, kulia Juma Mnonji mwanachama wa Simba, na kushoto Katibu wake, Almasi |
 |
Waungwana baada ya dua wakisubiri sadaka |
 |
Akina mama wakichambua mchele |
 |
Akina mama wakichambua mchele |
 |
Eneo la kusomea ibada ya hitima |
 |
Waungwana tayari kwa kisomo cha hitima |
 |
Mwanachama maarufu wa Simba, Mzee Juma Mnonji wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye hitima kama mmoja wa wageni waalikwa |
 |
Masufuria jikoni |
 |
Jamaa anatengeneza viungo |
 |
Ng'ombe anaiva | | | | | | | | | | | | |
PHOTOC CREDITS: BONGOSTAZ BLOG
hahahaa yanga nimeipenda hii ila sijamuona yule mkeleketwa wenu mzalendo halisi wa yanga,ila hilo sufuria
ReplyDelete