| Majaji wa EBSS - Master J, Madam Rita na Salama J wakipozi kwa camera wakati wa kufanyika kwa auditions za kutafuta superstar atakayewakilisha Lindi kwenye Epiq Bongo Star Search 2012. |
| Master J akiwa makini kumsikiliza mshiriki wa auditions za EBBS Lindi. |
| Anajaribu bahati yake - mshiriki akicharaza gitaa |
| Wananchi wa mkoa wa Lindi walijitokeza wengi kuja kushiriki katika EBSS 2012. |

No comments:
Post a Comment