Search This Blog

Friday, March 28, 2014

TAKWIMU YA SIKU: LUIS SUAREZ ANAHITAJI MABAO 4 KUVUNJA REKODI YA RONALDO NA SHEARER EPL

Luis Suarez anahitaji magoli (4) tuu ili aweze kuvunja rekodi ya Alan Shearer na Christiano Ronaldo ya kufunga magoli (31) katika msimu mmoja wa premier league record wenye mechi 38..

No comments:

Post a Comment