Search This Blog

Friday, March 14, 2014

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA: HILI NDIO GOLI LA HARAKA ZAIDI KUWAHI KUFUNGWA KATIKA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA


Ilikuwa ni kwenye sekunde ya 90 ya mchezo ndani ya dimba la Munich Olympiastadion wakati kiungo wa Uholanza  Johan Neeskens alipofunga goli dhidi ya West Germany tarehe 7 July 1974.

Goli hilo linabakia kuwa goli lilofungwa kwa haraka zaidi katika mchezo wa fainali ya kombe la dunia, hata hivyo goli halikuweza kuwasaidia Wadachi kushinda mechi hiyo na kubeba ubingwa.

Wajerumani walirudisha goli kupitia Paul Breitner na Gerd Muller akafunga goli la ushindi kuihakikishia Ujerumani Magharibi ubingwa wa pili wa dunia. 

1 comment:

  1. hapana sio kweli...goli la haraka kuliko yote kwenye fainali za kombe la dunia ni la Hankan Sakur wa uturudi dhidi ya south korea 2002 kutafta mshind wa tatu lilifungwa sekunde ya 12 so please elimisha wapenzi wa soka vizuri...kama ni kwa match ya final tu sawa haina shida

    ReplyDelete