Search This Blog

Friday, March 14, 2014

MKALI NANI: IPI SAFU KALI YA USHAMBULIAJI KATI YA SUAREZ NA STURRIDGE VS ROONEY NA VAN PERSIE

Kuelekea mchezo wa watani wa England, Manchester United vs Liverpool wikiendi hii - tujadili ipi ni safu kali ya ushambuliaji baina ya Suarez na Sturridge dhidi ya Van Persie na Rooney

6 comments:

 1. Yani huwezi hata kufnanisha kina suarez na kina rooney hata wastani wa mogoli wanawazidi mbali sana kina suarez nouma sana.

  ReplyDelete
 2. Rooney na R.V.P ndio safu Kali haijalishi Suarez na sturidge wamescore mangapi kiuwezo strikers wa utd wapo sawa

  ReplyDelete
  Replies
  1. Suarez na sturridge wamefunga magoli sawa na iliyoyafunga timu nzima ya Man utd msimu huu!
   Acha unazi...kama unazi wa mmiliki wa Blog hii

   Delete
  2. Acha unazi! unakuwa Mnazi kama mmiliki wa blog hii bhana...! Hebu kuwa realistic kidogo...

   Magoli ya SAS msimu huu yanalingana na magoli yote ya Man Utd msimu huu!

   Delete
 3. Unaposema strikers wa utd wapo sawa kimajina au uwezo wa kufunga? asa unakuwa mkali usiye mfungaji? Sturridge asingekuwq mchoyo ni hatariiiii

  ReplyDelete
 4. Nadhan Hapo Haiitaj Ubobee Sana Kwenye Uchambuzi. Double "S" Ni Wanatisha Goli 42

  ReplyDelete