| Kikosi cha timu ya Ushirika Veterani. |
| Kikosi cha timu ya Maveterani wa timu ya Kitambi noma ya jijini Arusha |
| Majadiliano wakati wa mapumziko kwa upande wa Ushirika Veterani. |
| Majadiliano yakiendelea kwa upande wa Kitambi noma veterani. |
| Shughuli ilikuwa pevu zaidi ndani ya dakika 90 za mchezo. |
| Mkongwe Jafary Kihango aki troti kutoka nje . |
| Kihango akimpisha mchezaji mwenzake Erick wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya Ushirika veterani na Kitambi noma Veterani. |
| Usajili mpya wa Ushirika veterani,mshambulizi Shaffih Dauda akijiandaa kuingia kuchukua nafasi . |
| Ndani ya uzi wa blue ,Shaffih Dauda tayari kwenda kufanya mashambulizi. |
| Shabiki mkubwa wa timu ya Kitambi noma. |
| Shaffih Dauda akipasha misuli moto. |
| Daktari wa timu ya Kitambi noma akiwa ameshika First Aid Kit huku mkono mwingine akiwa ameshikilia pombe ,haikufahamika mara moja kama pombe hiyo inatumika kama sehemu ya huduma ya kwanza. |
| Madaktari wa timu ya Kitambi noma pamoja na mashabiki wa timu hiyo wakiingia uwanjani kutoa huduma ya kwanza kwa mmoja wa wachezaji wa timu hiyo. |
| Mmoja wa washika kibendera katika mchezo huo akionesha umahiri. |
| Dakika tisini zimemalizika katika uwanja wa Limpopo ,Ushirika veterani 1,Kitambi noma 1. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

No comments:
Post a Comment