![]() |
| Mwamuzi Kabwe Corona akirushiwa maneno na wachezaji wa timu ya New generation inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Mashabiki wanaodaiwa kuwa ni wa timu ya New Generation wakivamia uwanja kwa ajili ya kutoa kichapo kwa mwamuzi. |
![]() |
| Mwamuzi Corona Kabwe akijitahidi kujitetea. |
![]() |
| Baadae New generation wakakubali penati ipigwe. |
![]() |
| Kocha wa timu ya New generation Isaack Gamba akitulizwa na kocha Norman Kayange wakati akilalamikia penati hiyo. |
![]() |
| Baada ya penati kupigwa na goli kufungwa mashabiki wakamgeuza asusa mwamuzi Kabwe Korona. |
![]() |
| Mwamuzi wa akiba Henry Lymo pia alitishwa kidogo hapa. |
![]() |
| Hivyo hali ilibadilika uwanjani na mchezo ukavunjika. |









No comments:
Post a Comment