Search This Blog

Monday, March 3, 2014

TAKWIMU YA SIKU: WAYNE ROONEY NDIO MCHEZAJI PEKEE ANAYEMZIDI HAZARD KWA PASI ZA MWISHO KWENYE EPL TANGU 2012

Tangu msimu wa 2012/13 ni Wayne Rooney pekee yake ambaye amemzidi kwa kwa kutoa pasi za magoli (assists) Eden Hazard - Rooney ametoa pasi 19 na Hazard katoa 18.

1 comment:

  1. msimu 2012/2013 hazard aliongoza kwa assist 13

    Msimu huu suarez anaongoza kwa assist 11 (espnfc)
    hizo takwimu umezitoa wapi

    ReplyDelete