Ramadhani Singano 'Mess' (kulia), akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ramadhani Singano akiipangua ngome ya Rhino Rangers ya Tabora.
Kipa wa Rhino Rangers, Charles Mpinuki akidaka pelnati ya mshmambuliaji wa Simba, ramadhani Singano 'Mess' katika mchezo wa Ligi Kuu.
Mshabiki wa Simba wakifuatilia mtanange huo.
Beki wa Rhino Rangers, Julius Masunga akitafuta mbinu za kumtoka Haruna Chanongo wa Simba.
Moja ya Jeka heka zilizotokea katika lango la Rhino Rangers.
Mwamuzi wa pembeni, Frank Komba kutoka Pwani alilalamikiwa na wachezaji wa Simba baada ya kukataa moja ya goli lililofungwa na timu hiyo.
Beki wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga
akiusindikiza mpira wavuni katika harakati za kuokoa, hata hivyo mwamuzi wa
mchezo huo alilikataa bao hilo na kulalamikiwa na wachezaji wa Simba, wakati wa
mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kuliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0.
Francis Dande
+255784 62 39 58
+255713 62 39 58
www.francisdande.blogspot.com
No comments:
Post a Comment