Search This Blog

Sunday, January 26, 2014

PICHA:ANDIKA CHOCHOTE KUTOKANA NA HIZI PICHA ZA HAWA MADOGO.



4 comments:

  1. Nadhani ni mapenzi ya wazazi wao zaidi kuliko mapenzi ya watoto wenyewe.

    ReplyDelete
  2. Inaonesha jinsi gani wazazi wa watoto hawa walivyo na mapenzi na hao wachezaji na ligi zao,si jambo baya naamini italeta motisha yakukuza mpira wa miguu hapa kwetu ,tunatakiwa kuiga vzur zaidi sio vya wastani ili tukikosa ubora wajuu tupate wastani na tuweze kujipanga ,heshima kwako shafii ukiwa kama mmoja wa wadau muhimu wa mchezo wa mpira wa miguu hapa kwetu.

    ReplyDelete
  3. Hapo hakuna uzalendo hata kidogo na katika picha hizi hata dalili za kuelekea kombe la dunia 2018 na CHAN 2015 haipo kabisa. Kwanii uzalendo ujengwa tangia utotoni kama umri wa hao watoto.

    ReplyDelete
  4. madogo wajinga sana baada wamvae ngassa..

    ReplyDelete