Search This Blog

Tuesday, January 7, 2014

REKODI ZA USHINDI ZILIZOVUNJWA NA TIMU PINZANI OLD TRAFFORD TOKEA MOYES AWE MENEJA UNITED

1. West Brom walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1978

2. Everton walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1992

3. Newcastle walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1972

4. Swansea wao huu ndio ushindi wao wa kwanza Old Trafford kwa maana kwamba kablaa ya mchezow ajana walikuwa hawajawahi kuifunga United dimbani hapo.

Wakiwa chini ya David Moyes, klabu kama West Brom, Everton, Newcastle na Swansea wameweza kujiandikia historia mpya dimbani Old Trafford.


Imeandaliwa na Cletus Shirima

3 comments:

  1. Shaffih vp bro? mbn blog yako imepooza sana. Kuna matukio mengi sana yanayoendelea kutokea kwny ulimwengu wa soka hasa katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo. Achana na hizo rekodi zilizovunjwa hapo OT,hazisaidii kwa kuwa zitaendelea kuvunjwa tu. Mi naukubali sana uchambuzi wako,ingawa kwa sasa ckuelewi. Au upo likizo broo!!

    ReplyDelete
  2. Nakukubali kaka kwa uchambuzi wako, ila mbona hutuletei habari za kombe la Mapinduzi?! Ingawa soka letu ni magumashi, ila tusiwe wabaguzi. Big up kaka Shaffih.

    ReplyDelete