Search This Blog

Friday, January 10, 2014

HATIMAE SIMBA NAYO YAFUZU FAINALI MAPINDUZI CUP.

Klabu ya Simba imefanikiwa kukata tiketi ya kucheza fainali ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA ya Uganda mabao 2-0.
mabao ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na beki Joseph Owino pamoja na kiungo Amri Kiemba huku kiungo Owen Kasule wa URA akilimwa kadi nyekundu kwa kumchezea madhambi Ramadhani Singano.
Simba sasa itacheza fainali siku ya Jumatatu na timu ya KCC pia toka nchini UGANDA iliyoitoa AZAM kwa mabao 3-2.

1 comment:

  1. Mbona habari ya simba umeandika kiufupi sana..? au ndo majungu. sema sasa Yanga yenu vp?

    ReplyDelete