Juventus ya Italia imetolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa katika ngazi ya vilabu barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0,bao hilo pekee limewekwa kambani na kiungo raia wa Uholanzi Wesley Sneijder. Mchezo huo ilibidi ufanyike tena hii leo baada ya jana kusimamishwa kutokana na hali ya hewa.
No comments:
Post a Comment