Bondia
Fransic Miyeyusho kushoto akielekezwa jinsi ya kutupa makonde kwa
mpangilio na Doi Miyeyusho wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika
GYM ya lazima ukae iliyopo kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa
na mpambano wake wa kimataifa wa kufunga mwaka na David Chalanga wa
Kenya mpambano utakaofanyika Desemba 31 katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach. |
|
No comments:
Post a Comment