Timu ya CLOUDS MEDIA GROUP Kesho inaikaribisha timu ya
mashabiki wa YANGA waliopo kwenye mitandao ya kijamii ( facebook,twitter na
Instagram ).
Mchezo huo unataraji kupigwa mida ya saa kumi jioni kwenye
uwanja wa Tanganyika Packers ulipo maeneo ya Kawe hapa jijini Dar Es Salaam.
Lazima mkae,tunaanza kabisa sherehe za mtani jembe,tuna wakamua na jmosi anafuatia mnyama.yanga kwanza mtu baadae.
ReplyDeletendo zetu ushindi yanga facebook.
Ila tuna shukuru kwa kukubali kucheza mechi nasi,michezo furaha,mtupangie mbwiga katikati
by
KUNTAH KINTE.
Safi sana
ReplyDelete