Search This Blog

Wednesday, December 18, 2013

DAUDA TV: MSIKILIZE MWANACHAMA WA SIMBA MAARUFU KAMA '' DOGO MACHO '' AKIUZUNGUMZIA USAJILI WA OKWI YANGA.

1 comment:

  1. Mi ningeomba kuwaambia mashabiki wenzangu wa simbawaelewe kuwa kama okwi kasajiliwa yanga ni sawa tu na kumsajili mchezaji yeyote chamsingi ni hela tu ziwepo ambazo tulimuuza okwi kwenda Tunisia basi lakini kuhusu kusajiliwa na yangu sio ishu ya ss kuanza kulalamika. Kama kulalamika ilipaswa tulalamike wakati anaondoka kwenda Tunisia kama kweli tulikua tunajitaji kupata huduma yake

    ReplyDelete