Search This Blog

Thursday, October 17, 2013

VICENTE DEL BOSQUE KUONGEZEWA MKATABA KABLA YA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA.

Katibu mkuu wa chama cha soka nchini Hispania (RFEF), Jorge Perez , amekiambia kituo cha redio cha  Cadena Cope cha nchini Hispania kuwa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo Vicente del Bosque atasaini mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha timu hityo kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia mwakani..
Mkataba wa sasa Del Bosque, mwenye umri wa miaka 62 unamalizika mara tu baada ya fainali zijazo za kombe la Dunia na tayari mazungumzo ya kuongeza mkataba yalishaanza.
 

 

@footballespana_
‘Del Bosque renewal before Brazil’ football-espana.net.

No comments:

Post a Comment