Wacheza soka wana upande wao ambao
hutukumbusha wote kuwa nao ni binadamu kama binadamu wengine na si malaika au
watu wenye nguvu zisizo kawaida au wenye uwezo wa kufanya miujiza . Wanatumia
muda mwingine kutoa burudani inayotokana na vipaji vyao lakini pamoja na hayo
pia wanapata muda mwingi wa kupumzika na kurelax baada ya kufanya kazi na
mazoezi magumu . Tutazame baadhi ya starehe za wacheza soka tunaowapenda ,
See the full list here: http://www.soccerreport.com/
No comments:
Post a Comment