Kujiangusha au kudanganya mwamuzi ili mchezaji apate nafasi
ya kupiga free kick au penalty ni kitu ambacho kinaonekana sana kwenye mchezo
wa soka kwa miaka ya sasa . Kila mtu amekipa kitendo hiki jina la “kujifanyisha
au hata kuongopa” lakini ukwel ni kwamba kwenye mchezo wa soka hii leo
wachezaji wengi kwa makusudi yao hujiangusha
na ifuatayo ni orodha ya wachezaji wanaongoza katika hili.
No comments:
Post a Comment