Search This Blog

Wednesday, July 31, 2013

VIDEO: ANGALIA NEYMAR AKIWAOMBA MAKOCHA WA BARCA WAMUINGIZE ACHEZE MECHI YAKE YA KWANZA


Bila kuona aibu kwa camera za TV zilizokuwa zinammulika, mchezaji mpya wa FC Barcelona Neymar alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na uzi wa Barca akiingia kutoka benchi katika dakika 78 ya mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya kipoland Lechia Gdansk. Aliingia badala ya Alexis Sanchez katika mchezo ambao ulienda kuisha kwa sare ya 2-2, lakini wakati mchezo huo unaingia kwenye kipindi cha pili mwanzoni, Neymar alionekana akiwa anawaomba makocha wasaidizi wa Barca wampe nafasi aingie atimize ndoto yake ya kuichezea Barcelona.  

Kocha mpya wa Barcelona Tata Martino hakuwepo kwenye mechi hiyo iliyochezwa nchini Poland (mechi yake ya kwanza itakuwa Ijumaa hii dhidi ya Santos ya Brazil).


11 comments:

  1. Shaffih sasa huo ni uhuni, hapo video iko wapi?

    ReplyDelete
  2. Where is that VIDEO Shaffih, Juct be Serious....

    ReplyDelete
  3. mbona unazingua bro vp tena video haionekani?

    ReplyDelete
  4. video iko wap?
    acha kuzingua

    ReplyDelete
  5. kwani akiomba kucheza kuna ubaya acha fitna

    ReplyDelete
  6. naona giza tuu humu sioni video!

    ReplyDelete
  7. Wap video shaffih

    ReplyDelete
  8. viddeeeoooooooooooOooo

    ReplyDelete
  9. Acha kutufanya watoto hyo video yenyewe iko wapi

    ReplyDelete
  10. Brooo we mtata huwa hauangalii baada ya kuapload information zako kwenye sit au na wewe huwa unaangalia kama sisi user wengine be serious bro

    ReplyDelete
  11. Shafh acha mambo yako bhana tia video hiyo chap.

    ReplyDelete