| Rage na Mzee Kinesi |
| Ibrahim Masoud Maestro na mwenyekiti wa kamati ya usajili Zakaria Hans Pope |
| Mwenyekiti aliyepita wa Simba Hassan Dalali alikuwa mmoja wa wahudhuriaji |
| Wanachama |
| Katibu Mkuu wa Simba Mtawala |
| Pamoja na mkutano huo kufanyika kwa amani lakini kulikuwepo na mabishano ya hapa na pale miongoni mwa wanachama |

kwakweli huu mfumo wa viongozi wetu hapa tz unanishangaza sana ,pale wanapoona wamevurunda na wananchi hawawataki kwanini wanakuwa wagumu kuachia madaraka ? Inaonyesha ni jinsi gani Rage anavyo nufaika na klabu ya simba , Rage waachie timu yao kazi za kufanya zipo nyingi
ReplyDelete