Search This Blog

Saturday, July 20, 2013

MUIGIZA NA MWANACHAMA WA SIMBA BI HINDU - RAGE DIKTETA - ANATUTISHIA POLISI, HATUSIKILIZI WANACHAMA

Muigizaji mkongwe na mwanachama wa klabu ya Simba, Bi Hindu amesema hajaridhishwa kabisa na uendeshaji wa mkutano mkuu wa Simba uliongozwa na mwenyekiti Aden Rage.

Akizungumzia na mtandao huu, Bi Hindu alisema: "Yule bwana Rage leo katupeleka peleka tu, badala ya kutuambia vitu vya msingi analeta porojo, ukimuuliza eti katiba inampa mamlaka. Katuletea polisi ili atutishe, polisi apeleke kwenye siasa za chama chetu CCM na sio kwenye Simba yetu. Sikupenda hata ule mpangilio wa maswali, watu wenye hoja nzito alikuwa akiwakataa na kuchagua wa kwake aliowapanga," alisema Bi Hindu.

7 comments:

  1. Kama kuna ukweli vile!! Mambo yote ya klabu kubwa kama Simba yajadiliwe ndani ya one hour!! One hour! Yaani lisaa limoja tu! Kweli!!

    ReplyDelete
  2. kwa ukweli ni hakika kuwa wengi hatukwenda kwa kuwa tulijuwa hayo ndio yatakuwa mkoutano wmkuu wa simba tena ikumbukwe nyuma kulikuwa na migogoro hiyo ilikuwa fursa mwenyekiti kuwapa wale waliompinga hadharani waseme nini hoja zao na tafauti ziondolewe lakininkwa kuwa rage na wenzake hawapendi kuambiwa wala kukosolewa wameyapelekapeleka mamno na kuayalindisha watakavyo mkutano wa simba hauwi wa daika sitinini uongo na unafiki uliwazi lakini dhulma haidumu na mungu hayuko pamoja na madhalim kama rage

    ReplyDelete
  3. Bi Hindu karibu Airtel.......

    ReplyDelete
  4. Ana ushahidi kwamba amepanga watu wake wa kuuliza maswali? Wanachama kama mnataka kumuweza Rage, muwe fit na katiba kwanza maana ndio Rage anayokimbilia kujibu hoja.

    ReplyDelete
  5. Rage sio kiongozi bali mtawala ndio maana akutaka kuwasikiliza wanachama wake

    ReplyDelete
  6. Rage sio kiongozi bali ni mtawala ndio maana akutaka kuwasikiliza wale wanachama waliokuwa wanapinga kipindi cha vuguvugu

    ReplyDelete