Search This Blog

Friday, May 17, 2013

EXCLUSIVE: HIZI NDIO ORODHA MBILI ZA MAREFA WALIOPANGWA KUCHEZESHA MECHI ZA MWISHO ZA LIGI KUU - KABLA NA BAADA YA KUBADILISHWA NA TFF - MWAMUZI WA MCHEZO WA WATANI TU NDIO ABADILISHWA

Hii ndio orodha ya marefa watakaochezesha mechi za mwisho za ligi kuu kabla ya kubadilishwa kwa mwamuzi mmoja tu wa mchezo wa Simba vs Yanga.


Hii ndio orodha ya pili ilitolewa na TFF baada ya kumbadilisha refa wa mchezo wa Simba na Yanga huku mechi nyingine kukiwa hakuna mabadiliko yoyote ya waamuzi.



2 comments:

  1. Shaffih we ni mwandishi mzuri ila cha kushangaza mara nyingi status zako unazitoa kwa kuangalia haswa unazi wako kwa kuwa upande m1, hii ni kinyume cha maadili ya uandishi wa habari ambao unawataka kuwa (neutral) tayari tff washatoa ufafanuzi kuhusiana na hilo baada ya wenyew kubaini walikosea kupanga mwamuzi ambaye alishaonyesha udhaifu haswa baada ya kutambia madudu yake kwnye mechi ya yanga vs azam reje maneno ya kashfa aliyomtolea niyonzima. Yanga tunawataka simba mngekuwa na uwezo mpangeni rage ksho achezeshe kipgo hamkikwepi

    ReplyDelete
  2. Shafii usikatishwe tamaa na baadhi ya watu wasiopenda ukweli na uwazi wako, kwa kilichofanyika kingeweza kuleta matatizo katika pambano hilo la watani bila sababu, kama alikuwa na tatizo alipaswa kubadilishwa mapema nikiamini waamuzi wazuri wapo kibao...We piga kazi ndugu yangu naamini upo sahihi wanaokusagia ni wale wale wenye fikra mgando...!

    Baba Rahma-Kimara King'ongo

    ReplyDelete