Marehemu Kilambo,ambaye alifariki jana usiku majira ya saa mbili na nusu baada ya kuugua ugonjwa wa saratani ya koo kwa takribani miaka miwili atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika timu ya Yanga kama beki imara wa timu hiyo na kuipatia Pan Africa ubingwa wa taifa mwaka 1982. Pia marehemu amefundisha nyota wengi hapa nchini kama Mohamed Mkweche, Juma Pondamali, Adolf Richard na wengineo.
Raisi Kikwete |
Adam Malima |
Mussa Hassan Zungu |
Young Africans Chairman Yusuph Manji |
Kitwana Manara |
Sunday Kayuni |
Add caption |
Haidary Abeid na Mtemi Ramadhani |
Shaffih Dauda, Mbwiga Mbwiguke na Adolf Rishard |
Makumbi Juma homa ya jiji |
Athur Mwambeta na Sunday Manara |
Shaban baraza |
Labda kwa kuwasaidia tu ndugu waandishi wa blog kwa ajili ya kumbukumbu zenu,aliyekuwa kocha wa Pan African mwaka 1982 ilipochukua ubingwa wa Tanzania Bara na baadaye Muungano alikuwa Mohamed Msomali,mchezaji wa zamani wa Yanga na Cosmopolitan.Marehemu Kilambo alifundisha Pan Africa kwa vipindi tofauti kabla ya mwaka 1982 akisaidiana na Hassan Gobbos
ReplyDelete