Lionel Messi hakuigharimu Barcelona chochote zaidi ya fedha za matibabu ya ugonjwa upungufu wa homoni za ukuaji. Lakini sasa muargentina huyo ana thamani kubwa kuliko – kiasi cha mguu wake kuwa na thamani ya dola za kimarekani millioni $5.25m.
Taarifa ni kwamba sonara wa kijapani Ginza Tanaka ametengeneza mguu wa bandia wa wa kushoto wa lionel Messi kwa kutumia dhahabu, mguu ambao una kilo 25 na kwa sasa upo sokoni has created a 25-kilogram golden statue of Messi’s left foot, which has gone on sale in Tokyo. Its cost? A whopping 500 Japanese yen, which is around $5.25m!
No comments:
Post a Comment