Search This Blog

Tuesday, March 26, 2013

NEYMAR NI JUSTIN BIEBER WA SOKA - MKALI KWENYE VIDEO ZA YOUTUBE DIMBANI HAMNA KITU


Kiungo wa England na Marseille Joey Barton ameendeleza mashambulizi kwa staa wa wa kibrazil Neymar leo Jumanne kwenye mtandao wa Twitter juu ya uwezo wa soka wa mshambuliaji huyo wa Santos.
 
"Neymar ni Justin Bieber wa soka. Anatisha sana kwenye video zake za zamani za Youtube, lakini wa kawaida kiwanjani (mkojo wa paka)," akimaanisha mchezaji huyo uwezo wa mchezaji huyo ni mkubwa kwenye vipande vya video zilizopo Youtube lakini hana kitu dimbani."
  Barton ambaye ni mchezaji huyo wa Manchester City na Newcastle, ambaye kwa sasa yupo kwa mkopo Marseille akitokea Queens Park Rangers, amekuwa akimrushia maneno Neymar 'overrated' kwa maana anasifiwa kuliko uwezo halisi baada ya kumuona akicheza kwenye mechi ya kirafiki kati ya Brazil na England.

5 comments:

  1. John Reuben a.k.a MuphatyMarch 26, 2013 at 9:43 PM

    I know Joey is a fighter,so it every difficult to know talented player like Neymar!! I think he can spot talented fighter like Man pacquio and Valmardir. ha ha ha ha

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa hana lolote bwegetu kwa samat.

    ReplyDelete
  3. nikewli hana kitu.omari mpate

    ReplyDelete
  4. Omari Mpate wa Charambe. Ni kweli kabisa neymar hamna lolote na ndio maana anaogopa hata kucheza nnje ya kwao.Atoke Dunia isibitishe kama kweli ana weza.mpira vitendo sio maneno ya vyombo vya habali.

    ReplyDelete